Je, umewahi kula mnyama ama wadudu gani Hadi ukajisemea nilikuwa wapi siku zote hizo? Nimekula wanyama wengi sana.

Ngumu kumeza hiyo bwashee 😅
 
Bado sana wewe!Karibu chama chetu cha mapinduko tunakula watu.Tumeanza siku nyiiingiii ila kuiweka dhahiri iiikuwa ni mwaka jana 2025 robo ya mwisho.
 
Kuna mpishi mmoja alikuwa anapoteza Radha Kwa kuonja sana kiasi kwamba ukimpa Maini aonje anakuambia ni magimbi hayo😹😹😹
Sasa ndo wewe mkuu
 
Kuna mpishi mmoja alikuwa anapoteza Radha Kwa kuonja sana kiasi kwamba ukimpa Maini aonje anakuambia ni magimbi hayo😹😹😹
Sasa ndo wewe mkuu
Anhaa Nikifa MkeWangu Asiolewe kitambo sana mkuu wangu .

Leo nikakuona ukanikumbusha wamalila na kula nyani ila ukasahau wanakula na paka ,anyway ni kweli napoteza radha kabisa

Vipi bado huko kwetu huko ? Nakuja bwana kuna binti amesema mimi nafaa kuwa mmewe naona wacha nifike kwao nijue wazazi wanasemaje mkuu
 
Mkuu nilikuwa pori na soon na Rudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…