Je, umewahi kuona mwanaume mwenye matiti/manyonyo kama huyu?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna.

Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu hata kama hatazaa au kuzalisha?

Upande wangu nishawahi muona alikuwa mchungaji wa ng'ombe kwa jirani kwenye miaka 2003. Tangu kipindi hiko sijawahi Ona tena hadi leo nimeona Facebook tena.

Nadhukuru jamaa ameendelea kuwa mwanaume licha ya kuwa na matiti ukiangalia sura na mwonekano ya mwamba ni dhahiri kabisa anafanya kazi ngumu za kiume.

Basi fika Dar ujionee maajabu ya Musa kupasua bahari ya shamu.

Mtu anasifa zote za kuwa mwanaume ila anagoma kwa makusudi hana chembe hata tone la kuwa na sifa ya kike ila anaamua kugoma ghafla!

NB:Sijajua wasukuma wezangu wanafanya nini hapa kwa jamaa naona kama ni udhalilishaji maana hadi hapa nimekulia usukumani ila sijawahi Ona mkusanyiko wa namna hii. Kama kuna mtu anajua zaidi atupe ufafanuzi.

Your browser is not able to display this video.
 
Au sijaona vizuri , mbona ni kama huyo jamaa mwenye jacket kajaribu kuyanyonya matiti ya mwanaume mwenzake 🤔 ?

 
Hapo naona mwamba anamtunza kuna dalili kama za wahindi kumfanya mwanaadamu mwenzao mkubwa zaidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…