MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Wakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu wa namna hii, ambao tulikuwa hatusomi sana mpaka kuloweka miguu kwenye beseni/ ndoo lakini bado tulitusua mtihani. Tafadhali Kwa comment tafadhali,kama unaye hata ndugu aliyewahi kuwa anatusua Ivo please njoo,utueleze tujifunze.
Karibuni kwa mjadala Wakuu.