Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijar.Tupe hata kisa kimoja tujifunze
Yeah ni jambo kama Hilo linapoteza confidence sana watu hawajui.Habari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.
Binafsi kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wangu ( siwezi taja ) imekua ikiathiri sana saikolojia na maisha yangu in general, shule niliiona chungu kipindi nipo primary, nimekua nikitaniwa sana na kuchekwa. [emoji23]
Imedidimiza my self esteem siwezi hata kusimama mbele za watu, unfortunately only surgery can correct that. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam hivyo nilijaribu kufuatilia kama ni sahihi kufanya surgery but luckily enough nimeambiwa it's permitted if only done to correct any deformity in the body be it a birth defect or an acquired one, most especially if it causes either psychological or physical pain.
Japo wazazi wapo against jambo hili kwa kisingizio eti dini, itoshe tu kusema hiyo dini hawajui inasemaje kuhusiana na hili na mbaya zaidi hawataki kuelimishwa ( much know ) .. kwa hili watanisamehe tu, maisha yenyewe mafupi haya kwanini ukose raha kwa kudhikakiwa yet there's a solution na dini imepermit ?? ..
Mwisho wa yote, kama na wewe mdau wa JF ni Ile aina ya watu wenye kupenda kucheka ama kudhiaki watu kutokana na muonekano please acha mara moja, hujui tu ni namna gani inaathiri saikolojia ya mtendewa na mara nyingi hupelekea hata kujitoa uhai sababu wengine mioyo yao mepesi hivyo vitu kama hivi vinaweza kumtoa kabisa kwenye reli ..wanasema kushare na watu yanayo kutatiza kunaweza saidia kuleta relief moyoni hivyo basi yangu ni hayo tu naomba kuwasilisha.
Mwisho kabisa kama kuna mtu anataka kunipinga nasema hivii nipe mkono tushindane nipeeee ([emoji23]jokes)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana? Ilikua wavulana tupu hiyo shule?kipindi nipo secondary aloo yalinipata hayo nikawa sina raha kabisa na mimi mwenyewe kwanza sijiamini hata kuvaa vizuri na kuchomekea maana walikua wanasema nina sura ya kike mara mrembo au mzuri basi tafrani.
Ikapelekea sometimes mmekaa hivi mtu anakuja anakushika kifuani kama anashika chuchu aloo niliwahi nyanyua kiti nikampiga nacho mtu darasani nilimpasua maana ni kiti cha chuma sitasahau alipasuka haswaa, Nimekua nimeota ndevu ndo nikaanza kujikubali na zimeota kweli timber imeshuka na ukubwa now naona hata ule muonekano wa uzuri umepungua sana na rangi pia imefifia nimekua maji ya kunde flani.
hapana mchanganyiko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana? Ilikua wavulana tupu hiyo shule?
Pole sana mkuu.Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Hapo sawa. [emoji23][emoji23][emoji23]hapana mchanganyiko.
Vishavu vya wapi? [emoji849][emoji849][emoji849] Weka picha mkuuNusura nijiumize kumbe shida ni mawazo yangu tu.Nilikuwa nikioga na watoto wenzangu wakichanua naona wako poa wote nikijicheki mimi khaa vinyama vinabembea...nikaanza kuishi kwa kujificha kitumbua...nimekua nataman mkuyenge nitafanyaje...
Nikanunua Girrate nikate mbona sikio nilijitoga mwenyewe nitashindwaje kutata mashavu yanayobembea.Isiwe kesi ...vile naanza tu damu hizo afu za kuruka,panaumaa..nikasema Leo kidogo kesho kidogo tena mpaka yatadondoka.
Sasa,,,utandawaz huu bhana si nikainyaka xvideo moja ...aisee yule Dada anashavu za kubembea hatari afu anapigwa miti huku kachanua fresh bila aibu.....tena mwingine..na mwingine tena(ee kumbe fresh bhana) ...nilivyolianzisha mimi bhanaa(ivo kama una kasoro JIKUBALI)
Mbaya zaidi kichwa huwezi kukipunguza.Mfano mtu kutaniwa ana kichwa kikubwa.
Habari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.
Binafsi kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wangu ( siwezi taja ) imekua ikiathiri sana saikolojia na maisha yangu in general, shule niliiona chungu kipindi nipo primary, nimekua nikitaniwa sana na kuchekwa. [emoji23]
Imedidimiza my self esteem siwezi hata kusimama mbele za watu, unfortunately only surgery can correct that. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam hivyo nilijaribu kufuatilia kama ni sahihi kufanya surgery but luckily enough nimeambiwa it's permitted if only done to correct any deformity in the body be it a birth defect or an acquired one, most especially if it causes either psychological or physical pain.
Japo wazazi wapo against jambo hili kwa kisingizio eti dini, itoshe tu kusema hiyo dini hawajui inasemaje kuhusiana na hili na mbaya zaidi hawataki kuelimishwa ( much know ) .. kwa hili watanisamehe tu, maisha yenyewe mafupi haya kwanini ukose raha kwa kudhikakiwa yet there's a solution na dini imepermit ?? ..
Mwisho wa yote, kama na wewe mdau wa JF ni Ile aina ya watu wenye kupenda kucheka ama kudhiaki watu kutokana na muonekano please acha mara moja, hujui tu ni namna gani inaathiri saikolojia ya mtendewa na mara nyingi hupelekea hata kujitoa uhai sababu wengine mioyo yao mepesi hivyo vitu kama hivi vinaweza kumtoa kabisa kwenye reli ..wanasema kushare na watu yanayo kutatiza kunaweza saidia kuleta relief moyoni hivyo basi yangu ni hayo tu naomba kuwasilisha.
Mwisho kabisa kama kuna mtu anataka kunipinga nasema hivii nipe mkono tushindane nipeeee ([emoji23]jokes)
Inatokea hiyo mkuu sio kila mtu ata kupendaKuna mwalimu mmoja huwa apply hii kitu mpaka sasa na leo amenionyesha ni kwa jinsu gani ananichukia na sijui ni kwa sababu gani ilw fresh2 mie nimechukulia poa kwa maneno yake juu yangu mbele za watu.
Anazingua sanaInatokea hiyo mkuu sio kila mtu ata kupenda
Hahah mkuu umenifurahisha sana , ni kweli ke znatofautiana kimaumbo " umenikumbusha mbali sanaNusura nijiumize kumbe shida ni mawazo yangu tu.Nilikuwa nikioga na watoto wenzangu wakichanua naona wako poa wote nikijicheki mimi khaa vinyama vinabembea...nikaanza kuishi kwa kujificha kitumbua...nimekua nataman mkuyenge nitafanyaje...
Nikanunua Girrate nikate mbona sikio nilijitoga mwenyewe nitashindwaje kutata mashavu yanayobembea.Isiwe kesi ...vile naanza tu damu hizo afu za kuruka,panaumaa..nikasema Leo kidogo kesho kidogo tena mpaka yatadondoka.
Sasa,,,utandawaz huu bhana si nikainyaka xvideo moja ...aisee yule Dada anashavu za kubembea hatari afu anapigwa miti huku kachanua fresh bila aibu.....tena mwingine..na mwingine tena(ee kumbe fresh bhana) ...nilivyolianzisha mimi bhanaa(ivo kama una kasoro JIKUBALI)
Aisee, yaani Muumba ni mkuu sanaHahah mkuu umenifurahisha sana , ni kweli ke znatofautiana kimaumbo " umenikumbusha mbali sana