Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Kumbe n maskio tuu, acha kuvipa vtu umuhimu kihivyo mbona yako vzur tu je ungezaliwa huna kabsa hayo maskio au hujawah ona watu wa hvyo??

Jikubali babaaa, haujajiumba kumbuka cha kuhofu n nn? N sawa mtu apate huzun kisa anamatege wakt kunawatu hawana hata hiyo miguu yenyewe.​
 
Bullying ni mbaya saaana hasa ikiwa shuleni pale ambapo mtu anaanza kujitambua ktk miaka 15 -18.

Moja ya sababu ya MJ kubadili muonekano ni bullying ilitoka nje na kuingia ndani ya familia. Nakumbuka kipindi fulani Brandy Norwood pia alitamani kufanya surgery ya pua kisa bullying.
Huwezi kujua kama hujawahi kupitia ila ni mbaya mno ..
 
Bullying ipo sana. Ni kwa sababu katika jamii zetu bullying inafanywa na wazazi pia. Watoto wanaiga wazazi. Wazazi wanatukana na kucheka watoto wao wa kuzaa. Yaani ni kama kitu cha kawaida tu. Mimi nilikulia kwenye jamii ambayo kuwa na chogo kama lile la Mwalimu Nyerere ni kitu cha kawaida.

Mimi kichwa changu hakina chogo refu. Basi shule ya msingi nilitaniwa sana na kuchekwa kwa vile sina chogo. Na kweli inaumiza na kuua self-esteem. Baadae nilivyoanza kutembea hapa ndani na nje ya Tanzania ndio nikagundua kuwa kumbe kuwa na chogo ndio kitu cha ajabu. Kutokuwa na chogo ndio kawaida. Wasiokuwa na chogo ni wengi kuliko wenye chogo.

View attachment 2019894
N me kabsa, me sna chogo nlipata tabu sana shule ya msng nilitaniwa nilichekwaa........lkn baadae nmekuja kuona watu hawana chogo na wanaish vzr tuu, kuna vtu s ulemavu lkn Mungu kafanya hivyo ili tushangazwe na uumbaji wake wa kupendeza, woooote tuna vtu vya kipekee vsivyofanana na wengne.​
 
Actually, Wazungu na Waasia (Wachina, Wajapan nk) hawana chogo.

N me kabsa, me sna chogo nlipata tabu sana shule ya msng nilitaniwa nilichekwaa........lkn baadae nmekuja kuona watu hawana chogo na wanaish vzr tuu, kuna vtu s ulemavu lkn Mungu kafanya hivyo ili tushangazwe na uumbaji wake wa kupendeza, woooote tuna vtu vya kipekee vsivyofanana na wengne.​
 
N me kabsa, me sna chogo nlipata tabu sana shule ya msng nilitaniwa nilichekwaa........lkn baadae nmekuja kuona watu hawana chogo na wanaish vzr tuu, kuna vtu s ulemavu lkn Mungu kafanya hivyo ili tushangazwe na uumbaji wake wa kupendeza, woooote tuna vtu vya kipekee vsivyofanana na wengne.​
Chogo kama sululu 😅
 
Wakikubully ukajibu ukaonyesha udhaifu hasa kwa watu wa umri wako unakua mdhaifu kiakili hakuna alie kamilika kila mtu anakasoro zake kubali alicho kupa mungu usiwe kama wenye pua pana wanataka kua na zakikorea😂
Kwani shule uliosomea hukua na marafiki wa kutaniana?

Bullying unatembea nazo kukomaza akili yako maneno ni vitu vya kawaida we ulisha pitia bullyin za kupigwa kunyang'anywa kiricho chako kudharirishwa na walimu na kupigwa bila sababu za msingi.

Mshukuru mungu kuna watu hawana hata viuno midomo mikubwa wengine hawasikii kabisa ila wanamshukuru muumba
Na ipo sababu kwanii wazungu ni weupo wahindi ni wekundu wachina wana macho madogo wenye pua nyembamba na pana zipo sababu

Ila maamuzi ni yako ukisha fanya upasuaji utupe mrejesho na kama una pua pana ilekebishe kabisa ufunge ukurasa

images (1).jpeg
Screenshot_20211123-133536_Chrome.jpg

images.jpeg
 
Mimi mtu ham-bully mtoto wangu. Nitakula naye sahani moja. Ila sio watoto wote wana confidence ya kuwaambia wazazi wao kuhusu kua bullied maana wazaz wengine hawana hata muda na watoto wao hata kujua kuna kitu tofaut kwa mtoto inakua ngumu.
Ukila nao sahani moja ndio hiyo kasoro wanayotumia kum-bully itaondoka. Sitetei wanao-bully ila kwangu mimi kula nao sahani moja una-trigger mazingira ya rise sense of inferiority.

Kibaya zaidi anaweza kuwa bullied na strangers ambao wamekutana nae tu barabarani, na wewe haupo. Nao utakula nao sahani moja?

Ni afadhali ukamu-encourage na kumuongezea confidence aone kuwa bullied ni sehemu ya maisha Na haitakuja kutokea dunia mambo kama hayo yakaisha.
 
Kubully sio lazima uwe na kasoro ya kibinadamu. Kuna mabully wanaopiga wenzao. Wazungu wanapenda sana kuweka movies za bullying kufundisha maana kuna watoto wanateswa sana shuleni na mtaani. Ukimtetea mtoto wako kwanza atakua na confidence kua mama/baba atakuja kunitetea atakua huru hata kuja kusema. Lakini ukipotezea atakuja fanyiwa kitu kibaya ubaki kusema ningejua ningejua
 
Ume play part kubwa sana kama mzazi na hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, kwenye masuala kama haya ya bullying support ya mzazi Ina nafasi kubwa sana katika kumfanya mtoto asijihisi hafai, hongera kwa hilo. Binafsi wazazi wangu wamekua wakini dharau tu tangu udogoni na nimepata tabu haswaa yani imefikia kipindi mpaka nahisi labda hawanipendi sababu hawajawahi kujali hata kidogo licha ya yote ninayopitia ..
Ni kweli kaka nilifanya hivi sababu nilijua athari zake kwa mtoto maana ingemuathiri kisaikolojia ,na ndomana nilihamisha mapenzi yangu kwake kuliko hata bint yangu wa kwanza ambaye alikuwa sawa haina tatizo lolote ,hili limemsaidia kumjenga sana na kumfanya afanye vizuri hata shuleni ,Na nilifanya haya sababu nilijua yote mipango ya mungu ,maana nilizaa mtoto wa kwanza hana shida wapili ikajitokeza hilo ,watatu yuko fresh tu,HAYA MAMBO YAPO SANA NA MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE ,INACHOTAKIWA MZAZI KUIKUBALI HIYO HALI NA KUMPA SAPOT MTOTO KWA KADRI UWEZAVYO ..mungu ndio mpangaji ,maana unaweza mdharu huyo mtoto ,kunyanyasa kumkebehi huwezi jua akaja kuwa na majaaliwa makubwa ,NAAMINI KATIKA JAMBO MOJA ,pana siri kubwa na miujiza katika kila utofauti wa mtoto unapojitokeza ,Wewe angalia wale watoto genius ,kwa hali ya kawaida unaweza ukawaona hawapo sawa ila mungu ameweka vipawa vikubwa ndani yake.
 
Kati ya vitu ambavyo siji fanya ni pamoja na kumcheka mtu jinsi alivyo, awe na kichwa kikubwa ,macho makubwa whatsoever huko.

Mie nshai ambiwa nikitembea na binua m.tak. [emoji23][emoji23] haya mambo ukiyachukulia serious yanakuumiza akili Bora ukubali upotezee maana ikionekana uko offended na hiyo Hali ndio wanaichukulia weakness yako kukuadhibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kaka nilifanya hivi sababu nilijua athari zake kwa mtoto maana ingemuathiri kisaikolojia ,na ndomana nilihamisha mapenzi yangu kwake kuliko hata bint yangu wa kwanza ambaye alikuwa sawa haina tatizo lolote ,hili limemsaidia kumjenga sana na kumfanya afanye vizuri hata shuleni ,Na nilifanya haya sababu nilijua yote mipango ya mungu ,maana nilizaa mtoto wa kwanza hana shida wapili ikajitokeza hilo ,watatu yuko fresh tu,HAYA MAMBO YAPO SANA NA MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE ,INACHOTAKIWA MZAZI KUIKUBALI HIYO HALI NA KUMPA SAPOT MTOTO KWA KADRI UWEZAVYO ..mungu ndio mpangaji ,maana unaweza mdharu huyo mtoto ,kunyanyasa kumkebehi huwezi jua akaja kuwa na majaaliwa makubwa ,NAAMINI KATIKA JAMBO MOJA ,pana siri kubwa na miujiza katika kila utofauti wa mtoto unapojitokeza ,Wewe angalia wale watoto genius ,kwa hali ya kawaida unaweza ukawaona hawapo sawa ila mungu ameweka vipawa vikubwa ndani yake.
Hongera sana mkuu, natamani wazazi wote wangefahamu hili ..
 
Maisha haya dah!!! Ila wanaofanya dhihaka wenzao wengi Ni ma-psychopath, wenye wivu na gubu kinoma😂😂😂
 
Back
Top Bottom