Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Heheheh hii ni sana kwa watoto wa kike i usually hear these stuffs ati wameniangalia vibaya like yow, wale achana nao wako na mambo yao sio wewe bana 😅 then kamtu kanajifeel poa!Kutaniwa na kuchekwa kunafanya mtu kua insecure maana hata watu wakicheka na yao utajihisi unachekwa wewe. Hata uwe commando vipi deep down lazima uumie.
Kwa mimi hata ushinde unacheka kama Tom & Jerry huwa siwazagi😅! I guess i am super confident with who i am.
We unaonekana una aibu sana Ms Van?