Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Wazazi wako unataka wakutetee usitaniwe na masela? We jifanye chizi maisha yatakuwa mepesi sana!

Mi nimetaniwa sana utotoni kuna kipindi ilikuwa hadi nazinguana na raia sababu ya ungese sema nilipofikia age flani ya adolescence nikawa calm. Sikuwa navipa tena nafasi vitu vidogo hivyo[emoji28]
Sio akutetee hapana! Bali aonyeshe kuwa anajali na sio kudharau moja kwa moja, inaweza kuaffect overall life ya mtoto ..
 
Hahahaha shangaa mkuu hicho ndicho kipengele kwa mwanamme,nikiwa hivyo nitatafuta dawa kwa namna yoyote na kwa nguvu zote hadi visiwa na nchi za mbali huko[emoji16]

Ila masikio tu na mambo napiga vizuri mmmh si tatizo kabisa,binafsi nilishakataa kujiathiri kimawazo na vitu ambavyo sijavifanyia maamuzi (Maumbile) na siwezi vibadilisha (Uzee na kifo).

Sijioni nisiye na thamani kwa sababu SIJAJIUMBA WALA KUCHAGUA NIZALIWE VIPI, na siitishwi/sina hofu na vitu ambavyo najua siwezi vibadilisha kama KIFO.
Hutakiwi kuumia na kitu ambacho huwezi kukibadili mzee!

I have my strengths and i capitalize on them. Kuna vitu mimi ninavyo ila wengine hawana na wanatamani kuwa kama mimi😅! Ukishalijua hilo basi we tembea kifua mbere wewe ni mwamba!
 
Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Hii mbona poa tu!! Watu tuna meno kama ngiri na bado tunachukulia maisha poa. "We simply don't care what other people think and talk about us behind our backs!" Mshukuru Mungu kwa kuruhusu uumbaji huo kwako. Hukujiumba mwenyewe.
 
Afanye tu hyo surgery kupata confidence Ili wajinga wakose hoja mzungu karahisisha mambo
Huo ujinga mnafanyaga watoto wa kike to impress the society. Sifa ya mwanaume ni kujiamini yani. Kaza fanya mambo yako kuwa na hela uone kama kuna msenge ataongelea maskio yako badala ya maghorofa unayomiliki mjini😅
 
Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815

Hata Mimi nilipata kutaniwa sana na tatizo hili na ninalo ila now Niko Chuo na nilitaniwa sana nilipo kuwa shule msingi na sekondari ila nilipokuwa nakuwa na mama yangu aliwahi nambia una masikio mazuii kama ya .... Hii ilipelekea kunitia moyoo sana kwa hiyoo nulineglect hayoo maneno yaoo
 
Juzi tu kuna mwanangu kwenye utani akachomekea eti nina sura ngumu kinoma wakati
Yeye anapaka mafuta ya kujichubua
 
Sijawahi kuwa bullied, I was a bullie and I do regret it
 
Bila shaka una kichogo kurefu na shule walikuita nyundo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huo ujinga mnafanyaga watoto wa kike to impress the society. Sifa ya mwanaume ni kujiamini yani. Kaza fanya mambo yako kuwa na hela uone kama kuna msenge ataongelea maskio yako badala ya maghorofa unayomiliki mjini[emoji28]
Kuna vitu Ili uwe comfortable lazima ufanye namna especially smile yako mkuu Ili kupata confidence Sasa unayaachaje aisee,
 
Kuna vitu Ili uwe comfortable lazima ufanye namna especially smile yako mkuu Ili kupata confidence Sasa unayaachaje aisee,
Hahahahah if you always need peoples approval to be happy then you are a bitch hata kama unamiliki kende! A real man don’t need nobodys approval to be aiight!

Kwa wanawake its usual kupenda kuambiwa umependeza kila wakati, makes them feel precious and confident. Kwa mwanaume we don’t need that at all! So kumshauri jamaa afanye surgery its okay kama ataafiki ila sio lazima sana.
 
Kutaniwa na kuchekwa kunafanya mtu kua insecure maana hata watu wakicheka na yao utajihisi unachekwa wewe. Hata uwe commando vipi deep down lazima uumie.
 
Back
Top Bottom