snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Dah!!Haha am a man bro ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!!Haha am a man bro ..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Yes uko sahihi watu wabaya wanadhalilisha inaumiza sana hyo kitu na ndio maana anakuwa mkorofiBinafsi naamini kungekua na namna ya kitibu ualbino basi hata huyo manara mwenyewe asingekua albino saivi ..
Yes I knowKabisa, hii kitu isikie tu hivyo hivyo kama hujawahi pitia inaumiza mno ..
Ume play part kubwa sana kama mzazi na hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, kwenye masuala kama haya ya bullying support ya mzazi Ina nafasi kubwa sana katika kumfanya mtoto asijihisi hafai, hongera kwa hilo. Binafsi wazazi wangu wamekua wakini dharau tu tangu udogoni na nimepata tabu haswaa yani imefikia kipindi mpaka nahisi labda hawanipendi sababu hawajawahi kujali hata kidogo licha ya yote ninayopitia ..Haya mambo yapo ,Mimi nakijana wangu alizaliwa jicho moja likiwa dogo ,Binafsi kama mzazi niliumia kwa kumuonawanangu yuko hivyo ,basi nikalipokea tatizo ,nilichofanya nikazidisha mapenzi kwake kiasi kwamba asione tofauti na nikakubaliana nalo kwamba mungu anasababu zake kumfanya hivyo ,Ila Al hamdillah nachoshukuru dogo ana akili sana na darasani wa kwanza ,WATOTO KIANZIA MTAANI NA SHULENI WALIANZAGA KUMSUMBUA ,KUMCHEKA ,ila nilipambana nao na kumfanya ajione kawaida na nashukuru hata wao wamemzoea na wanamuona sawa wala hawamtanii na maisha yanaendelea ,.
DUNIA KAKA INA CHANGAMOTO NYINGI SANA NA KILA JAMBO MUNGU ANA SABABU ZAKE ,
Yes wazazi au jamii haielewi hii kituWazazi pia wasidharau endapo wanapoona mtoto anapitia vitu kama hivi kwani ikishazidi kumuathiri kisaikolojia anaweza kujiua ..
Mwamba atakuwa na chogo au bichwa baya😅Mimi bado sijaelewa inazungumzia aina gani ya muonekano. Wewe unahisi una maumbile gani ambayo yanakutoa muonekano wako kuwa mbaya?!
Feel good boss,kwangu me nilidhani una tatizo kubwa sana baada ya kuona hiyo picha nikaona ni kama hakuna tatizo kabisa,kwanini kutaabika na hìi miili yetu yenye kuharibika,kukongoroka,kuzeeka na kufa?.Kipi kinaku chekesha hapo, au ndo bullying imeanza humu humu [emoji23] ..
Thanks mkuu [emoji1545][emoji1545] ..Feel good boss,kwangu me nilidhani una tatizo kubwa sana baada ya kuona hiyo picha nikaona ni kama hakuna tatizo kabisa,kwanini kutaabika na hìi miili yetu yenye kuharibika,kukongoroka,kuzeeka na kufa?.
Mbona me ninayo pia na naitwa kabisa MASIKIO na hainiathiri chochote?.
Ikiwa unaona wewe unaathirika kwa namna yoyote fanya surgery,la kama unaweza kubali maisha yaendelee,hakuna aliye perfect.
Yani mwamba anaumia sababu ana maskio kama Jerry?😅Feel good boss,kwangu me nilidhani una tatizo kubwa sana baada ya kuona hiyo picha nikaona ni kama hakuna tatizo kabisa,kwanini kutaabika na hìi miili yetu yenye kuharibika,kukongoroka,kuzeeka na kufa?.
Mbona me ninayo pia na naitwa kabisa MASIKIO na hainiathiri chochote?.
Ikiwa unaona wewe unaathirika kwa namna yoyote fanya surgery,la kama unaweza kubali maisha yaendelee,hakuna aliye perfect.
So hii ndio kasoro unayoizungumzia ww?Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Wazazi wako unataka wakutetee usitaniwe na masela? We jifanye chizi maisha yatakuwa mepesi sana!Ume play part kubwa sana kama mzazi na hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, kwenye masuala kama haya ya bullying support ya mzazi Ina nafasi kubwa sana katika kumfanya mtoto asijihisi hafai, hongera kwa hilo. Binafsi wazazi wangu wamekua wakini dharau tu tangu udogoni na nimepata tabu haswaa yani imefikia kipindi mpaka nahisi labda hawanipendi sababu hawajawahi kujali hata kidogo licha ya yote ninayopitia ..
Hahahaha shangaa mkuu hicho ndicho kipengele kwa mwanamme,nikiwa hivyo nitatafuta dawa kwa namna yoyote na kwa nguvu zote hadi visiwa na nchi za mbali huko[emoji16]Yani mwamba anaumia sababu ana maskio kama Jerry?[emoji28]
Kuna mtu anajimaliza na mabia ameachwa na mke wa pili juzi, hadindishi na wala hana mtoto!