KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,115
- 1,807
Bila shaka ulishawahi kuleta hiki kisa hapa JF hii ni mara ya pili
Kuna Mwanangu nimesoma nae primary anaitwa Denis hasa maskio ni madogo yake ni kama upawa
But atuwahi kumfanyia Bullying ya aina yeyote ni mwana sna anadunda na life lake sasa ivi
Kuna Mwanangu nimesoma nae primary anaitwa Denis hasa maskio ni madogo yake ni kama upawa
But atuwahi kumfanyia Bullying ya aina yeyote ni mwana sna anadunda na life lake sasa ivi
Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815