Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bullying sio nzuri hata hao kina Manara wanaumia ka binadamu wengine vile ni celebrity doesn't mean hawaumii bana, tuheshimu watuFid Q aliwahi kusema katika ngoma ya Kiberiti "usipende kuchukulia vitu personal"
Kwenye maisha kila wanachozungumza watu juu yako usitake kukibeba.Wengine wanaweza kukubully sio kwa sababu ya kasoro yako ila chuki zao tu, wengine utani tu etc. Wakina Manara wanatukanwa tena matusi mazito mara nguruwe sijui misukule lakini wanadunda tu bila shida.
Tafuta hela mkuu acha kuhangaika na vitu vidogo vidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23] maskio ya upawa yakojeBila shaka ulishawahi kuleta hiki kisa hapa JF hii ni mara ya pili
Kuna Mwanangu nimesoma nae primary anaitwa Denis hasa maskio ni madogo yake ni kama upawa
But atuwahi kumfanyia Bullying ya aina yeyote ni mwana sna anadunda na life lake sasa ivi
Tafuta hela ukafanye surgery hata Uturuki technology imepanuka kwanini uteseke?Usikalili visa vinaweza kufanana, naujua ule Uzi na nilicomment pia ..
Tuseme tu ukweli, dada mleta mada ni kibonge mwepesi.nimekuelewa sana mleta mada,
kuna pisi yangu iliniambia ilivyokua shuleni ilikua inapita magumu sana ya kutaniwa na kuchekwa kwasababu ni bonge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Na ndio hawa hawa wanaosema jikubali na mengine mengi ila asilimia kubwa ni unafIki tu..Nimewahi kuwa bullied mtaani hata humu JF pia nimekuwa bullied kuhusu sura yangu, in short wanaopenda kuzalilisha wengine mapungufu Yao huwa ni watu wenye matatizo ya akili, wajinga na wasiojielewa na wasio jali wengine, na wanao bully wengine na wao huwa Wana mapungufu sema vile watu huwa hawayasemi Yao basi wanajiona perfect.
Binafsi naamini kungekua na namna ya kutibu ualbino basi hata huyo manara mwenyewe asingekua albino saivi..Bullying sio nzuri hata hao kina Manara wanaumia ka binadamu wengine vile ni celebrity doesn't mean hawaumii bana, tuheshimu watu
Ndio hao hao wanaokuzalilisha kwa maumbile ya mtu kiukweli mtu ukiwa na hela fanya tu hyo surgery Ili uwe comfortableNa ndio hawa hawa wanaosema jikubali na mengine mengi ila asilimia kubwa ni unafki tu ..