minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
Nimeshaweka! ..
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaweka! ..
Mmmmmmhmn hii sio deformity mbona ni maumbile. Labda umehofia muonekano wako tu ambayo unaweza kuta unapendezea. MUNGU fundi, anaumba kwasababu.Ni minor deformity tu kama mnavyoona kwenye picha, sema ya huyu dogo yaongezeke kidogo [emoji23][emoji23] View attachment 2019815
Kwann inakuwa kero. Hebu nielekezeFact mkuu, ila kuna muda inakua kero ..
Mzee jambo la kawaida sana utaona tabu kwa watu wapya wale ambao hamjazoeana ila fresh vilema vipo unaweza kupata maisha kama bado unaishi mimi nimeishi na jamaa kitaa mmoja amezaliwa pua iko nusu ila ana dharau huyo na kwa mademu kamaliza mtaa.Fact mkuu, ila kuna muda inakua kero ..
Watu wanaangalia kupita maelezo bro, na kuchekwa mda mwingine maneno ya dhihaka najipa moyo labda ni akili yangu tu ila kuna circumstance nyingi (nisingependa kuzitaja) zinafanya niamini naonekana vibaya.Kwann inakuwa kero. Hebu nielekeze
Dogo una umri gani?Yah! Endapo hakutakuwa na solution, ila kama solution ipo basi huna budi kurekebisha kwanini uteseke ..
Yah hakuna budi kujikubali kama hamna solution, ila binafsi naamini kama kungekuwa na dawa ya ualbino basi asingekuwepo hata mmoja..mzee jambo la kawaida sana utaona tabu kwa watu wapya wale ambao hamjazoeana ila fresh vilema vipo unaweza kupata maisha kama bado unaishi miminimeishi na jamaa kitaa mmoja maezaliwa pua iko nusu ila ana dharau huyo na kwa mademu kamaliza mtaa, mwingine miguu mibovu ukimchek kama ana akili watoto wanamuogopa ila alivyokuwa na kuanza kushika pesa akawa msafi we viduku kwa sana macheni huwezi amini bishoo sana ila miguu mibovu yote miwili
Jua uko hivyo special na kuna mtu anavutiwa na jinsi ulivyo hivyo ndo kadata hapoYah hakuna budi kujikubali kama hamna solution, ila binafsi naamini kama kungekuwa na dawa ya ualbino basi asingekuwepo hata mmoja ..
Nadhani ni akili yako unailisha uongo so ina amplify yale unayoyanena kichwani kwako. Ila hakuna ukweli wowote kuwa hayo masikio yako yanakufanya wewe kuwa na dosari kimuonekano.Watu wanaangalia kupita maelezo bro, na kuchekwa mda mwingine maneno ya dhihaka najipa moyo labda ni akili yangu tu ila kuna circumstance nyingi ( nisingependa kuzitaja) zinafanya niamini naonekana vibaya ..
Siku hizi nikikutana na demu mweusi halafu awe na mwili wa kimodo daaaaah huwa napata stimu balaa.Dogo una umri gani?
Ina maana kuambiwa una masikio makubwa nayo shida?
Inaonekana wewe ungekuwa mweusi kama mimi na vile huwa nataniwa mimi ni mweusi kama mkaa, ungekuwa unagombania mkorogo na dada zako.
Dogo huwezi kuwa mzuri kuliko watu wote duniani, na huwezi kuwa mbaya kuliko watu wote duniani.
Vijana wa dar mnazingua sana.
[emoji23][emoji23] mkuu! Mimi nina asili ya sudan kusini na ni mweusi tii na nataniwa sana ila hili la masikio naona linaenda out of hands .. mimi sio wa dar mkuu nimekulia Kampala na ndipo napoishi ..Dogo una umri gani?
Ina maana kuambiwa una masikio makubwa nayo shida?
Inaonekana wewe ungekuwa mweusi kama mimi na vile huwa nataniwa mimi ni mweusi kama mkaa, ungekuwa unagombania mkorogo na dada zako.
Dogo huwezi kuwa mzuri kuliko watu wote duniani, na huwezi kuwa mbaya kuliko watu wote duniani.
Vijana wa dar mnazingua sana.
Fid Q aliwahi kusema katika ngoma ya Kiberiti "usipende kuchukulia vitu personal"
Kwenye maisha kila wanachozungumza watu juu yako usitake kukibeba.Wengine wanaweza kukubully sio kwa sababu ya kasoro yako ila chuki zao tu, wengine utani tu etc. Wakina Manara wanatukanwa tena matusi mazito mara nguruwe sijui misukule lakini wanadunda tu bila shida.
Tafuta hela mkuu acha kuhangaika na vitu vidogo vidogo.
Sema unasumbuliwa na tatizo gani Mkuu?Watu wanaangalia kupita maelezo bro, na kuchekwa mda mwingine maneno ya dhihaka najipa moyo labda ni akili yangu tu ila kuna circumstance nyingi ( nisingependa kuzitaja) zinafanya niamini naonekana vibaya ..
Nakuja Kampala December..nipe sehem za Bata nianzie wapi?[emoji23][emoji23] dah nchi ngumu sana hii, hiyo kawaida mkuu ..