Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Fact mkuu, ila kuna muda inakua kero..

Nikuambie kitu mkuu, usionyeshe hiyo hali ya kutojikubali mbele ya wazazi wako huwa inawauma kuliko unavyofikiri sema hawawezi kukuambia tu. Kitu kingine,jaribu kuwasikiliza wazazi wako katika hili,kumbuka wazazi ni kama Mungu wa pili unaweza force operation isiende vizuri. La mwisho,jipende hata watu unaowaona wamekamilika wana mapungufu yao mengi tu ila wanajipenda
 
Habari wakuu

Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.

Binafsi kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wangu ( siwezi taja ) imekua ikiathiri sana saikolojia na maisha yangu in general, shule niliiona chungu

Mwisho kabisa kama kuna mtu anataka kunipinga nasema hivii nipe mkono tushindane nipeeee ([emoji23]jokes)
Mkuu usiwasikilize watu...

Hata hao wanaojidai kukucheka nao wana kasoro zao..

Mungu alikuumba hivyo, unapendeza hivyohivyo,usisikilize wajinga.
 
Nikuambie kitu mkuu, usionyeshe hiyo hali ya kutojikubali mbele ya wazazi wako huwa inawauma kuliko unavyofikiri sema hawawezi kukuambia tu. Kitu kingine,jaribu kuwasikiliza wazazi wako katika hili,kumbuka wazazi ni kama Mungu wa pili unaweza force operation isiende vizuri. La mwisho,jipende hata watu unaowaona wamekamilika wana mapungufu yao mengi tu ila wanajipenda
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] ..
 
Pole sana.

Kua Bullied ni sehemu ya maisha, wewe binafsi hujawai either kubully au troll mtu yyte?
 
Ukitaja hiko kitu na sie tutataja ila kama unaficha, tegemea watu kutokusupport sredi yako.. N'way niko na shemeji yako hapa na enjoy nae kimtindo.
View attachment 2019811
Wanakawe tunamjua vizuri huyo kijana,anaitwa mwidini mjuku wa mzee kigodora.

Dada zetu wanampenda sana huyo jamaaa, nadhani kimasihara hua anapigaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
What's confidence?

Yeyote mwenye mawazo ya kuifanya changamoto iwe fursa, yaani kuifanya wengine waone haiwezekani iwezekane, atauona ufalme wa Mbingu.

Ujinga ni nini?
 
Wanakawe tunamjua vizuri huyo kijana,anaitwa mwidini mjuku wa mzee kigodora.

Dada zetu wanampenda sana huyo jamaaa, nadhani kimasihara hua anapigaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo mimi mkuu, huwa nawapiga piga kimtindo, sema wakulungwa wananikandia sana.
 
Sasa utasaidikaje wakat unaficha kinachokusibu, unabusha ama nene mkuu
 
Maisha yenyewe mafupi haya, nianze kuhaha na wanaonisema? Huo mda sina hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu

Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.

Mwisho kabisa kama kuna mtu anataka kunipinga nasema hivii nipe mkono tushindane nipeeee ([emoji23]jokes)
Sasa husemi una mapungufu gani ya kimaumbile tutachangia lipi la maana sasa,yamkini hata na picha ungetuonyesha umepungukiwa wapi ili tukushauri
 
Hayaja kukuta mkuu
Ninaweza kujaza uzi huu mzima visa vyangu, na bado bullying napewa had now time na sio kwa tatzo 1 n mengi mno, vile nimechagua maisha Yang binafsi wala sipat tabu.
 
Back
Top Bottom