Fact mkuu, ila kuna muda inakua kero..
Nikuambie kitu mkuu, usionyeshe hiyo hali ya kutojikubali mbele ya wazazi wako huwa inawauma kuliko unavyofikiri sema hawawezi kukuambia tu. Kitu kingine,jaribu kuwasikiliza wazazi wako katika hili,kumbuka wazazi ni kama Mungu wa pili unaweza force operation isiende vizuri. La mwisho,jipende hata watu unaowaona wamekamilika wana mapungufu yao mengi tu ila wanajipenda