Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Ninaweza kujaza uzi huu mzima visa vyangu, na bado bullying napewa had now time na sio kwa tatzo 1 n mengi mno, vile nimechagua maisha Yang binafsi wala sipat tabu.
Tupe hata kisa kimoja tujifunze
 
Yeah ni jambo kama Hilo linapoteza confidence sana watu hawajui.
 
kipindi nipo secondary aloo yalinipata hayo nikawa sina raha kabisa na mimi mwenyewe kwanza sijiamini hata kuvaa vizuri na kuchomekea maana walikua wanasema nina sura ya kike mara mrembo au mzuri basi tafrani.

Ikapelekea sometimes mmekaa hivi mtu anakuja anakushika kifuani kama anashika chuchu aloo niliwahi nyanyua kiti nikampiga nacho mtu darasani nilimpasua maana ni kiti cha chuma sitasahau alipasuka haswaa, Nimekua nimeota ndevu ndo nikaanza kujikubali na zimeota kweli timber imeshuka na ukubwa now naona hata ule muonekano wa uzuri umepungua sana na rangi pia imefifia nimekua maji ya kunde flani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana? Ilikua wavulana tupu hiyo shule?
 
Vishavu vya wapi? [emoji849][emoji849][emoji849] Weka picha mkuu
 
Kuna mwalimu mmoja huwa ana apply hii kitu mpaka sasa na leo amenionyesha ni kwa jinsi gani ananichukia na sijui ni kwa sababu gani ila fresh2 mie nimechukulia poa kwa maneno yake juu yangu mbele za watu.

 
Kuna mwalimu mmoja huwa apply hii kitu mpaka sasa na leo amenionyesha ni kwa jinsu gani ananichukia na sijui ni kwa sababu gani ilw fresh2 mie nimechukulia poa kwa maneno yake juu yangu mbele za watu.
Inatokea hiyo mkuu sio kila mtu ata kupenda
 
Hahah mkuu umenifurahisha sana , ni kweli ke znatofautiana kimaumbo " umenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…