Mbona unakwepa mitego hivi dah 😅
Kumbe hua upo makini sana
Nilitaka kukuingiza chaka 😅
Haiwezekani 😊
Mbona unakwepa mitego hivi dah 😅
Kumbe hua upo makini sana
Nilitaka kukuingiza chaka 😅
Rudi kule kuna dawa yakoEe BWANA pokea roho yangu kwa jina Yesu aliyesulubiwa, ninalala ili nipumzike, Unibariki Ee BWANA na unikinge, uniepushe na kifo cha ghafla na kisichotarajiwa na hatari zake zote🙏
Leo Messi🐐
Heshima yako 🫡Haiwezekani 😊
Heshima yako 🫡
Acha bato bana tunaeleweshana tu😁Rudi kule kuna dawa yako
Unaelewesha na nani ?Acha bato bana tunaeleweshana tu😁
Amina kila la kheriNinamuomba Allah Anifishe katika Tawheed na Sunnah, Anifishe Akiwa Ameniridhia, Anifishe katika Uislam na Sunnah.
Ewe Mwenye Kuzigeuza Nyoyo, Uthibitishe moyo wangu katika Dini yako,
Ewe Allah! Naomba Unipe Mwisho Mwema , ninakuomba Unifishe katika Tawheed na Sunnah,
Ewe Allah, Fanya Uwe Mwema Mwisho wetu katika Mambo yote na Tuokoe na Hizaya ya Dunia na Adhabu ya Akhera,
Allahumma Aamiin.
Sasa hapa kidogo kuna changamoto kiimani...unaamini kuna tofauti ya muda wakati unaingia ulimwengu mwingine?...Kama kabla hujazaliwa hukua unajua chochote kuna uwezekano pia ukifa hakutakua na chochote kitakachoendelea
Umesema hakuna mtu asiejua kama anakufa ?
Sidhani kama kila mtu anajua
Hivi mtu amekaa hana hili wala lile anaangukiwa na ukuta anasagika papo hapo utasema alikua anajua anakufa?