Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Ee BWANA pokea roho yangu kwa jina Yesu aliyesulubiwa, ninalala ili nipumzike, Unibariki Ee BWANA na unikinge, uniepushe na kifo cha ghafla na kisichotarajiwa na hatari zake zoteπŸ™

Leo Messi🐐
Rudi kule kuna dawa yako
 
Ninamuomba Allah Anifishe katika Tawheed na Sunnah, Anifishe Akiwa Ameniridhia, Anifishe katika Uislam na Sunnah.

Ewe Mwenye Kuzigeuza Nyoyo, Uthibitishe moyo wangu katika Dini yako,

Ewe Allah! Naomba Unipe Mwisho Mwema, ninakuomba Unifishe katika Tawheed na Sunnah,

Ewe Allah! Fanya Uwe Mwema Mwisho wetu katika Mambo yote na Tuokoe na Hizaya ya Dunia na Adhabu ya Akhera,

Yaa Hayyu Yaa Qayyum

Allahumma Aamiin.
 
Amina kila la kheri
 
Sasa hapa kidogo kuna changamoto kiimani...unaamini kuna tofauti ya muda wakati unaingia ulimwengu mwingine?...

Kwa nnachoamini ni kuwa ile moment tunayoona mtu anapitia kifo ni nyakati ambayo anaenda ulimwengu tofauti na huu sasa kitu unachoona kimetokea kwa haraka kwa alipo yeye ni process kwa maana hiyo anajua kama hapa nakufa mpaka anapokufa kabisa.
 
Vyovyote fresh tuu mana n kitu usichoweza kuzuia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…