Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

Naona watu mnatagiana vipi ndo hao wenye jinsi mbili mmeanza kujitaja au...??😂
 
Hii habari na hiyo video clip umemkosea huyo msichana.
Heshimu maisha ya watu.
Kumbuka kabla hujafa hujaepuka ulemavu au muonekano wako wa mwisho au wa uzao wako.
Unaweza kuja kupata mtoto mfano wa huyo.
 
Sijawahi kuamini kama crala luvanga ana kipochi manyoa kabisa, ni msela kabisa huyo waache kutuzuga
 
Back
Top Bottom