Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sumni = thumuniNimeiona sumni hapo
Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?
AuView attachment 3187855 ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
kila jambo na wakati wake ndugu yangumshamba_hachekwi itakuwa unaona manyotanyota tu apo😆
ni kweli wkt wako huukila jambo na wakati wake ndugu yangu
🤣🤣🤣Zote nimetumia!! Kuna na zile za noti shs 10, 20, 50 100, 200 na 500.
Halafu bado nakimbiza na vijana wadogo kabisa japo nimewaacha mbali.
Hizi nimezitumia sana kipindi tumepata uhuru kipindi ambacho nikiwa kijana wa miaka 30Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?
AuView attachment 3187855
ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
Ndio sana tu.Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?
AuView attachment 3187855
ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
technically yesKwani zimepigwa marufuku?
Nimezitumia! Tunanunua Pipi zile nyeupe za kufanana na panadol kwa senti 5! Thumuni tunaitumia kuingia kwenye mazingaombwe!Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?
AuView attachment 3187855
ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
Hiyo shilingi tano "Gwala" Shule ya Msingi ilikuwa na nguvu sana.Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?
AuView attachment 3187855
ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
Nimezitumia! Tunanunua Pipi zile nyeupe za kufanana na panadol kwa senti 5! Thumuni tunaitumia kuingia kwenye mazingaombwe!
Hilo liliitwa 'dala'Hiyo shilingi tano "Gwala" Shule ya Msingi ilikuwa na nguvu sana.
Unaenda nayo shule unakula siku nzima.
Sa nne muhogo shilingi, ashikirimu shilingi, halafu saa nane unarudia ashikirimu na bajia, na shilingi inabaki akiba.
bilashaka na sh5 umeitumiaShilingi 10 na 20 nimetumia