Je umewahi kutumia sarafu hizi za kitanzania?

Je umewahi kutumia sarafu hizi za kitanzania?

Hilo liliitwa 'dala'

Hilo lilikuwa kibunda tosha kabisa
Liliitwa dala kwa sababu thamani yake ilikuwa sawa na US dollar moja.

Na hiyo ndiyo ilikuwa nauli ya kwanza ya "Daladala", nauli ilikuwa hiyo "dala" ndiyo maana mabasi yakaitwa "daladala".

Makondakta walikuwa wanatangaza nauli "dala dala" ndiyo jina la mabasi likapatikana.
 
Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?

AuView attachment 3187855
ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆​
Cent 5 nilikuwa nanunulia pencil moja miaka hiyo. Tukiwa watoto nikiwa na miaka 7 mwaka fulani hiyo cent 20 bwege mmoja alikuwa anaoga ameacha nguo. Mwenzetu akazama mfukoni akatokea nayo, tulinunua fezez tunaongeza maji, tukiwa zaidi ya 6, na biscuits hadi tukasaza.
 
Zote nimetumia!! Kuna na zile za noti shs 10, 20, 50 100, 200 na 500.

Halafu bado nakimbiza na vijana wadogo kabisa japo nimewaacha mbali.

IMG-20241229-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom