Je umewahi kutumia sarafu hizi za kitanzania?

Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania?

AuView attachment 3187855
ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?πŸ˜†​
Hiyo shilingi tano "Gwala" Shule ya Msingi ilikuwa na nguvu sana.

Unaenda nayo shule unakula siku nzima.

Sa nne muhogo shilingi, ashikirimu shilingi, halafu saa nane unarudia ashikirimu na bajia, na shilingi inabaki akiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…