Je umewahi kutumia sarafu hizi za kitanzania?

Ukitoa hizo sent sent, naona hapo kuna sh.10 na sh20 nimewahi kuzitumia😊, Na hiyo ya pembeni sijui shilingi tano
 
Ili nchi ipate katiba mpya inabidi kizazi chote kilichotumia hizo sarafu kifutike kwenye uso wa dunia yaani kife
Hahahaaa tukiwaachia nyie maafisa ubashiri si mtafirisi na kuiwekea mkeka nchi yetu mkuu. šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
itakuwa shilingi 5 hiyo maana ilitumika muda mrefu sana hiyo
Yeah nimewahi kuitumia nayo,.
Najiuliza ukute enzi zile viwanja vilikua vinauzwa labda 1500 hivišŸ¤”,. Magari ukute watu walikua wananunua hadi kwa efu50šŸ¤“šŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…