Je, Umewahi Kuvunjia Kichwa cha Plug kwenye Cylinder Head?

Je, Umewahi Kuvunjia Kichwa cha Plug kwenye Cylinder Head?

Y denso iwe bei kidogo kuliko NGK mkuu? Na kwann zisiwe bei moja au denso iwe na bei ghali kuliko NGK?
Nadhani ni demand ya market ndiyo inaamua bei. Sehwmu nyingi Arusha denso zinauzwa bei rahisi kuliko NGK.

Lakini pia wafanya biashara wanajificha kwenye kivuli cha NISSAN...watu wamekariri kuwa spea za Nissan ni ghali hivyo chochote chenye Logo ya Nissan kinakuwa na bei juu kidogo.

Nissan wao kwa mgari yao wanapendekwza NGK ndiyo maana ukinunua plug za Nissan mara nyingi ndani ya box utakuta NGK.....hizo kampuni nyingine unaweza tumia tu kama Equivalent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni demand ya market ndiyo inaamua bei. Sehwmu nyingi Arusha denso zinauzwa bei rahisi kuliko NGK...
Nimekuelewa boss ni kama vile Toyota walivyopendekeza denso kwa magari yao na inaaminika plug genuine za Nissan bei yake imesimama kidogo kuanzia 50+ na hizi ni 25 ndo tuseme ni copy zake?
 
Nimekuelewa boss ni kama vile Toyota walivyopendekeza denso kwa magari yao na inaaminika plug genuine za Nissan bei yake imesimama kidogo kuanzia 50+ na hizi ni 25 ndo tuseme ni copy zake?
Mara nyingi spark plugs zinazotoka na Magari ya Nissan huwa ni NGK double iridium (DOUBLE ELECTRODE)....hata Nissan yangu ilikuja na hizi za double iridium.

Hizi huwa ni ghali sana na bei yake haipungui 50000+ mpaka 70000+ kwa moja kutegemea unaishi wapi...

Hizi za 25000-35000 kulingana na mkoa uliopo ni single iridium.. (ZINAKUWA NA CENTRE ELECTRODE TU na grounding ya kawaida.)
Hizi ndiyo zipo nyingi sasa watu wengi wasiozielewa wanapigwa bei kubwa sana kwa kisingizio cha Spea za Nissan ni ghali..

Nimeambatanisha mchoro niliouchora roughly ili kuelezea zaidi
IMG_20200310_145422_484.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boeing 747 plug huwa unabadili kila baada km ngapi mkuu,,?
samahani kama nipo nje ya mda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Plugs kqma ni genuine inapendekezwa ubadili angalau kila baada ya Mile 10000..au km 16000...
Haya matoleo ya plugs tunazoletewa huku bongo si ya kuqminika saana..
Hivyo kama unatumia NGK au Denso ni vyema ukabadili kila baada ya mwaka na nusu mpaka miaka 2....huu ni muda mzuri...Mimi ndivyo ninavyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi spark plugs zinazotoka na Magari ya Nissan huwa ni NGK double iridium (DOUBLE ELECTRODE)....hata Nissan yangu ilikuja na hizi za double iridium..
Hizi huwa ni ghali sana na bei yake haipungui 50000+ mpaka 70000+ kwa moja kutegemea unaishi wapi..
Ahsante sana umenisaidia kitu kikubwa sana kiufupi mm ni muuzaji wa spare hasa services parts na lubricants ila napata shida kuhusu baadhi ya spare za Nissan kujua ipi genuine na fake yake hasa plug
 
Mwaka 2017,natoka msibani,nikafungua kizibo cha maji,nikaweka maji mengine,kumbe kile kizibo kimekaa pembeni,hakijakaza vizuri..

Nikaanza safari,kufika tinde,temperature iko juu,gari ikazima tu,kumbe nishachinja cylinder head tayari,ilinibidi ni overhaul engine nzima!!

Engine ya Klugger, cha moto mbona nilikiona,yaani nilitoboka sitasahau hii safari!

Sent using Jamii Forums mobile app
.. temperature haipand ghafla we hukuliona hilo
 
little wonder plug zimevunjika kizembe, fake products, nje ya boxi zimeandikwa NISSAN ndani zimeandikwa NGK!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] tafiti kwanza..

Kampuni ya Nissan wanatumia NGK....
Toyota wanatumia DENSO na wanaubia huko Denso

Boksi sawa litaandikwa Nissan, ila ndani plugs ni NGK....Watumiaji wa NISSAN wanaelewa ninachozungumza..

Another important thing to keep in mind.....
Ubora wa plug haupimwi kwa kuangalia grounding metal yenye tredi zinazofinga kwenye Cylinder head....
Ubora unaangaliwa materials yaliyounda center electrode.....Je ni copper, je ni iridium, je ni platinum..?
Pia ubora wa plug unategemea insulation yake kama inaweza kuhimi joto kubwa la injini..

Ukishayajua hayo,
haitashangaza mtu plug kukatika coz zipo bolt kubwa sana kwenye magari na zinakatika...Mafundi wanajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boksi sawa litaandikwa Nissan, ila ndani plugs ni NGK....

Ndio u-feki wenyewe huo!

Boxi NISSAN plug NGK!

Na huu upigaji unafanywa huku dark continent tu, unaenda dukani kuuliza plug za Nissan unapewa kiboxsi cha NISSAN ndani kuna aftermarket plug ambayo inaingia kwenye gari lolote!

Mpaka engine oil mnauziwa oil ya NISSAN!

Halafu oooh, parts za NISSAN bei juu!

Plug ya DENSO haifanyi kazi kwenye NISSAN?
 
Sijajua kama umesoma vizuri nilichoandika...Denso,Bosch, NGK na nyinginezo zinafanya kazi vizuri sana kwenye Nissan,Toyota na magari mengine...

Nilichosema Kampuni ya Nissan wanapounda magari yao wanaweka NGK......wao ndiyo walioona zinawafaa....
Na ndiyo maana ukinunua spark plugs za Nissan iwe bongo au nje online, Zitakuja NGK...

Kwa upande wa Toyota wao wamependekeza magari yao yatumie DENSO.....
Boksi la Denso limeandikwa Toyota na plugs zilizopo ndani ni Denso...hakuna mahali zimeandikwa Toyota...
Na hili sijui unalizungumziaje...?

Kumbuka spark plugs ni kitu Universal....zinaingiliana bila kujalisha kampuni...

Hivyo kila kampuni wanaamua kuweka plug aina fulani kwenye magari yao...

Lakini pia angalia picha ya boksi za plugs nilizoweka hapa....Zina logo ya nissan na plug iliyochorwa imeandikwa NGK..

Ndio u-feki wenyewe huo!

Boxi NISSAN plug NGK!

Na huu upigaji unafanywa huku dark continent tu, unaenda dukani kuuliza plug za Nissan unapewa kiboxsi cha NISSAN ndani kuna aftermarket plug ambayo inaingia kwenye gari lolote!

Mpaka engine oil mnauziwa oil ya NISSAN!

Halafu oooh, parts za NISSAN bei juu!

Plug ya DENSO haifanyi kazi kwenye NISSAN?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio u-feki wenyewe huo!

Boxi NISSAN plug NGK!

Na huu upigaji unafanywa huku dark continent tu, unaenda dukani kuuliza plug za Nissan unapewa kiboxsi cha NISSAN ndani kuna aftermarket plug ambayo inaingia kwenye gari lolote!

Mpaka engine oil mnauziwa oil ya NISSAN!

Halafu oooh, parts za NISSAN bei juu!

Plug ya DENSO haifanyi kazi kwenye NISSAN?
Mkuu ninachojaribu kukuelewesha naona unaelewa ila hutaki tu kuelewa...
Kwa mfano angalia hizi picha...
Boksi limeandikwa TOYOTA au LEXUS ndani plug inasoma DENSO..

Boksi lingine limeandikwa NISSAN ndani plug inasoma NGK....

Manufacturers wa TOYOTA na NISSAN ndiyo wameamua iwe hivyo....
Sasa sijajua huo Ufake unaouzungumzia ni upi..?

Plug fake mkuu hazijulikani hata zimetengenezwa kwa material gani....

DENSO na NGK zinafahamika kuwa ni iridium au platinum..

Kama hujanielewa tena moaka hapa...Basi tena..View attachment 1383252
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishajibu kwamba hizi after market spark plugs zinapendekezwa zibadilishwe baada ya mile 10000 au km 16000..
Au angalau kila baada ya mwaka na nusu....miaka miwili at most

Mkuu unabishana na watu pengine hata hayo magari ya Nisan au Toyota hawana hivi plugs zipi ambazo ni imara na nzuri kati ya zilizoundwa kwa material ya copper, iridium au platinums?
 
Plugs kqma ni genuine inapendekezwa ubadili angalau kila baada ya Mile 10000..au km 16000...
Haya matoleo ya plugs tunazoletewa huku bongo si ya kuqminika saana..
Hivyo kama unatumia NGK au Denso ni vyema ukabadili kila baada ya mwaka na nusu mpaka miaka 2....huu ni muda mzuri...Mimi ndivyo ninavyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Genuine zinaweza enda zaidi ya 70,000kms

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom