kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Y denso iwe bei kidogo kuliko NGK mkuu? Na kwann zisiwe bei moja au denso iwe na bei ghali kuliko NGK?Hizi nimenunua Arusha mkuu....kwenye duka moja linaitwa CEAMAN auto spares..
NGK anauza 25000 kwa moja. Denso anauza 20000 kwa moja.....ila maongezi yapo....
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio uachane na hilo Simba Mkuu..utakuja kupata hasara kubwa
Nadhani ni demand ya market ndiyo inaamua bei. Sehwmu nyingi Arusha denso zinauzwa bei rahisi kuliko NGK.Y denso iwe bei kidogo kuliko NGK mkuu? Na kwann zisiwe bei moja au denso iwe na bei ghali kuliko NGK?
Nimekuelewa boss ni kama vile Toyota walivyopendekeza denso kwa magari yao na inaaminika plug genuine za Nissan bei yake imesimama kidogo kuanzia 50+ na hizi ni 25 ndo tuseme ni copy zake?Nadhani ni demand ya market ndiyo inaamua bei. Sehwmu nyingi Arusha denso zinauzwa bei rahisi kuliko NGK...
Mara nyingi spark plugs zinazotoka na Magari ya Nissan huwa ni NGK double iridium (DOUBLE ELECTRODE)....hata Nissan yangu ilikuja na hizi za double iridium.Nimekuelewa boss ni kama vile Toyota walivyopendekeza denso kwa magari yao na inaaminika plug genuine za Nissan bei yake imesimama kidogo kuanzia 50+ na hizi ni 25 ndo tuseme ni copy zake?
Plugs kqma ni genuine inapendekezwa ubadili angalau kila baada ya Mile 10000..au km 16000...Boeing 747 plug huwa unabadili kila baada km ngapi mkuu,,?
samahani kama nipo nje ya mda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana umenisaidia kitu kikubwa sana kiufupi mm ni muuzaji wa spare hasa services parts na lubricants ila napata shida kuhusu baadhi ya spare za Nissan kujua ipi genuine na fake yake hasa plugMara nyingi spark plugs zinazotoka na Magari ya Nissan huwa ni NGK double iridium (DOUBLE ELECTRODE)....hata Nissan yangu ilikuja na hizi za double iridium..
Hizi huwa ni ghali sana na bei yake haipungui 50000+ mpaka 70000+ kwa moja kutegemea unaishi wapi..
Ahsante sana umenisaidia kitu kikubwa sana kiufupi mm ni muuzaji wa spare hasa services parts na lubricants ila napata shida kuhusu baadhi ya spare za Nissan kujua ipi genuine na fake yake hasa plug
.. temperature haipand ghafla we hukuliona hiloMwaka 2017,natoka msibani,nikafungua kizibo cha maji,nikaweka maji mengine,kumbe kile kizibo kimekaa pembeni,hakijakaza vizuri..
Nikaanza safari,kufika tinde,temperature iko juu,gari ikazima tu,kumbe nishachinja cylinder head tayari,ilinibidi ni overhaul engine nzima!!
Engine ya Klugger, cha moto mbona nilikiona,yaani nilitoboka sitasahau hii safari!
Sent using Jamii Forums mobile app
little wonder plug zimevunjika kizembe, fake products, nje ya boxi zimeandikwa NISSAN ndani zimeandikwa NGK!Hizo plug ni nzuri sana. Ulizipata duka gani na kwa bei gani mkuu?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] tafiti kwanza..little wonder plug zimevunjika kizembe, fake products, nje ya boxi zimeandikwa NISSAN ndani zimeandikwa NGK!
Boksi sawa litaandikwa Nissan, ila ndani plugs ni NGK....
Ndio u-feki wenyewe huo!
Boxi NISSAN plug NGK!
Na huu upigaji unafanywa huku dark continent tu, unaenda dukani kuuliza plug za Nissan unapewa kiboxsi cha NISSAN ndani kuna aftermarket plug ambayo inaingia kwenye gari lolote!
Mpaka engine oil mnauziwa oil ya NISSAN!
Halafu oooh, parts za NISSAN bei juu!
Plug ya DENSO haifanyi kazi kwenye NISSAN?
Mkuu ninachojaribu kukuelewesha naona unaelewa ila hutaki tu kuelewa...Ndio u-feki wenyewe huo!
Boxi NISSAN plug NGK!
Na huu upigaji unafanywa huku dark continent tu, unaenda dukani kuuliza plug za Nissan unapewa kiboxsi cha NISSAN ndani kuna aftermarket plug ambayo inaingia kwenye gari lolote!
Mpaka engine oil mnauziwa oil ya NISSAN!
Halafu oooh, parts za NISSAN bei juu!
Plug ya DENSO haifanyi kazi kwenye NISSAN?
Boeing 747 plug huwa unabadili kila baada km ngapi mkuu,,?
samahani kama nipo nje ya mda.
Sent using Jamii Forum
Jet engine!!
Mkuu unabishana na watu pengine hata hayo magari ya Nisan au Toyota hawana hivi plugs zipi ambazo ni imara na nzuri kati ya zilizoundwa kwa material ya copper, iridium au platinums?Nilishajibu kwamba hizi after market spark plugs zinapendekezwa zibadilishwe baada ya mile 10000 au km 16000..
Au angalau kila baada ya mwaka na nusu....miaka miwili at most
Sent using Jamii Forums mobile app
Genuine zinaweza enda zaidi ya 70,000kmsPlugs kqma ni genuine inapendekezwa ubadili angalau kila baada ya Mile 10000..au km 16000...
Haya matoleo ya plugs tunazoletewa huku bongo si ya kuqminika saana..
Hivyo kama unatumia NGK au Denso ni vyema ukabadili kila baada ya mwaka na nusu mpaka miaka 2....huu ni muda mzuri...Mimi ndivyo ninavyofanya
Sent using Jamii Forums mobile app