Je umri gani Serengeti boys ....Wanakuwa wakubwa ....

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikumbusha mbali Mkuu hapa ulipotumia neno "cum". Cyo wote wenye kujua maana yake, mwenzake na "cum" anaitwa " ex"
 
Kiukweli kabisa hawa madogo baadhi yao ni beyond 17...iwe kwa MRI au kwa macho...ukweli ni ukweli tuh...yasije tukuta kama ya miaka ile tukashindwa kuingia fainali sababu ya umri wa mchezaji.
 
Kinachokufanya umuone kaseja kashapita 30 ni nini!?wabongo bwana mnaishi kwa kukariri!!
Ameanza kucheza Simba mwaka 2001 yaani miaka 16 iliyopita na kabla ya hapo alicheza miaka 2 Moro United kwa hiyo ameanza kucheza soka la ushindani akiwa na umri gani.
 
Ameanza kucheza Simba mwaka 2001 yaani miaka 16 iliyopita na kabla ya hapo alicheza miaka 2 Moro United kwa hiyo ameanza kucheza soka la ushindani akiwa na umri gani.
hahahahahahaha umetisha
itakuwa miaka 12.
.
ila watz kwa kudanganya umri hawajambo hapo kuna madogo kama wawili nawajua ni 20yrs ila ndo hivyo acheni wapate tu ulaji maisha yenyewe ndo hayahaya kama hizo MRI zimeshindwa kuwadetect basi acha wale maisha
.
wabongo mabingwa wakufanya happy birthday party ila kutaja umri ndo kimbembe unaweza kutolewa hata bastola
 
Vipimo habijafika africa? jamani km soka c hobby yenu kaeni kmya yle kijeba wa congobrazaville iliamriwa na caf aende misri kupimwa MRI ss we unaesema Africa bdo hatuna hicho kipimo hv Misri ni america? Nchi inapoandaa mashindano lazma wawe na hicho kipimo watapimwa tena na tena Gabon naona unabishana tu ilhali soka lenyewe c mfuatiliaji umeng'ang'ana tu wakubwa wakubwaaaa we mcameroon nn?
 
Kama CAF wamewakubali kwamba wako U-17 we unabisha nn sasa. Na ubishi wako unatusaidia nini kama Taifa.
 
Tatizo lako ni umeogopa suti, hujawahi ona kijana mdogo katupia suti alafu anaamkiwa na wakubwa zaidi yake??
 
labda mpira ndio unawachosha, huenda wakawa wadogo kweli tehe tehe tehe
walete vyeti na wao
 
Acha uongo wewe hapo hakuna U 17
 

uyu hapa ana miaka 17,na anaonekana mkubwa zaidi ya hao hapo. Siku hizi hakuna kudanganya umri tena,teknolojia imekua. Kongo walichezesha aliezidi umri wakatolewa kwenye mashindano ndio Serengeti wakapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…