Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

dah mi nikoko kama 10-12 younger kwa muonekano, but kilichosababisha hivyo ni kupoteza weight kwa sababu ya changamoto fulani fulani. Nilichojifunza ni kuwa sukari inazeesha sana na kuharibu ngozi. Iwe ya kiwandani au ya chakula kama wali, ugali n.k

Kula sana majani, matunda, protini... wanga na sukari punguza, mwili unachelewa chelewa kuchakaa ukifanya hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…