Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

dah mi nikoko kama 10-12 younger kwa muonekano, but kilichosababisha hivyo ni kupoteza weight kwa sababu ya changamoto fulani fulani. Nilichojifunza ni kuwa sukari inazeesha sana na kuharibu ngozi. Iwe ya kiwandani au ya chakula kama wali, ugali n.k

Kula sana majani, matunda, protini... wanga na sukari punguza, mwili unachelewa chelewa kuchakaa ukifanya hivyo,
Umesahau kitu kimoja.

Fanya na mazoezi yanatunza sana mwili,pia yanasaidia kukuepusha na changaomoto za maradhi.
 
Dunia inachekesha SANA, Kuna mama nilipiga NAE STORI KUHUSU MTU Fulani katika kunielezea akatumia neno MDADA mmama. SA nikashangaa nikamwambia SI useme TU mmama ETI akachukia. YANI anataka aitwe bint ilihali UMRI usha sepa.

Kwishaaaaaa
 
Ndiyo wamama wa mjini hao😂😂
 
Back
Top Bottom