Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

Mimi nikitaka kujua mtu umri umeenda naangalia tu vidole vya mkono..
Utaona baby face halafu vidole vimekomaa mno utadhani sio vyake
 
Vitu vingi nakula ila nadhani pia DNA inachangia, umri huu sina hata ndevu, kidevu ni cheupe kabisa kina ndevu flan hv za mchongo hata baba yangu nae yupo hvy na mwili mdogo.

Nikiwaga na lishangazi langu nakua kama mwanae 😂
Nmekusanya wapare 100 chap chap, 98 wote nmeona mko hivyo 😂😂😂
 
Nmekusanya wapare 100 chap chap, 98 wote nmeona mko hivyo 😂😂😂
Tumedumaa au 😂

Kuna wale wapare haswa hua wana muonekano wa kipare kabisa, ila sisi wapare wa mjini hata upareni hatujawahi kwenda hatuko hvy
 
Nini ajabu mkuu.
Mkuu japo nimeanza kumfahamu tangu Miaka hiyoo ila sikutegemea. HII hapa orodha ya wadogo zake utashangaa. Irene uwoya, aunt eze, wema, ZAI Lisa ANAWEZA muita carry mama SEMA Cary ana mwili MZURI MASHAALLAH



Kwishaaa
 
binti yangu wa kwanza anamiaka 39 wengi huzani mimi baba yake niko makamo ya kati 45s hasa mabinti lakini huanza kunisalimia baada ya kumuona mwanangu
 
Mkuu japo nimeanza kumfahamu tangu Miaka hiyoo ila sikutegemea. HII hapa orodha ya wadogo zake utashangaa. Irene uwoya, aunt eze, wema, ZAI Lisa ANAWEZA muita carry mama SEMA Cary ana mwili MZURI MASHAALLAH



Kwishaaa
Hao wote ulionitajia siwafahamu labda kajala namjua na jide.
 
32 ila watu wanadhani nina miaka 57 naelekea kwenye 60
 
Back
Top Bottom