Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

Mkuu utakuwa unasura ngumu kiasi gani hilo gap kutoka 96 hadi 80 asee
 
Wengine wanaonekana wazee kumbe ni vijana, na wengi wanaonekana ni vijana kumbe ni age go, kinachotofautisha ni lifestyle na genetics
 
Ndiyo wamama wa mjini hao😂😂
DAH kumbe MJINI SIKU HIZI NDO mnaitana hivo. Basi NAMI NAANZA kuji ita mkaka mubaba. Ohooo hakuna anependa kuonekana mzee.nmeanza kuelewa kwa Nini yule kiongozi KILA SIKU ni yeye na super black kichwani

Kwishaaaa
 
Ha Hata ufanyaje utazeeeka tu labda ufe chapil
 
DAH kumbe MJINI SIKU HIZI NDO mnaitana hivo. Basi NAMI NAANZA kuji ita mkaka mubaba. Ohooo hakuna anependa kuonekana mzee.nmeanza kuelewa kwa Nini yule kiongozi KILA SIKU ni yeye na super black kichwani

Kwishaaaa
Kiongozi gani huyo mkuu😂😂
 
DAH kumbe MJINI SIKU HIZI NDO mnaitana hivo. Basi NAMI NAANZA kuji ita mkaka mubaba. Ohooo hakuna anependa kuonekana mzee.nmeanza kuelewa kwa Nini yule kiongozi KILA SIKU ni yeye na super black kichwani

Kwishaaaa
MBONA huja nijibu nilicho kwambia majuz kati HIVI?

Kwishaaaa
 
Aiseee carry mastory WA insta ana Miaka 43 IMENISHANGAZA kidogo

Kwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…