Je, una Changamoto Yoyote Ya Afya Kinywa na Meno!? Ikiwepo kukosa meno !? Suluhisho hili hapa

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
😁 Rudisha tabasamu lako kwa meno bandia ya kudumu (Crowns & Bridges)!

Je, una jino lililovunjika, lililoharibika au lililopotea? Tunakupa suluhisho la kudumu kwa kutumia Crowns & Bridges zenye muonekano wa asili, uimara na faraja.

✨ Faida zake:
🦷 Hurejesha umbo na kazi ya meno.
🦷 Huboresha tabasamu na kujiamini.
🦷 Zinatengenezwa kwa ubora wa hali ya juu ili zifanane na meno yako ya asili.

Usiache pengo la jino likuzuie kutabasamu kwa kujiamini. Wasiliana nasi leo kwa ushauri na miadi.

Tabasamu lako, kipaumbele chetu! 🀍

πŸ“Dar es salaam , Pwani
πŸ“ž0658950085

πŸ“Έ Kabla na baada ya matibabu kukamilika πŸ¦·βœ…πŸ˜
 
Gharama zenu ziko vp
Gharama ni rafiki pia inategemea na aina ya huduma unayohitaji unaweza wasiliana nasi PM au Whatsapp tukakutumia karatasi ya gharama za uchangiaji
 
Gharama zenu ziko vp
Kwa sasa hatujaanza kupokea bima tupo kwenye makubaliano na makampuni na taasisi za bima ili tuweze kufanya nao kazi hivyo huduma zinaendelea kwa cash tu πŸ™karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…