haya yako mstari upi wa biblia?Ulafi au kula kupita kiasi vyakula vinavyosababisha mwili uwe na uzito wa kupindukia(obesity)
Gal 5:21haya yako mstari upi wa biblia?
La QuicaDada umeolewa?
Wee umerogwa sio bureJe unajua? Ukifanya mambo yafuatayo, yakauharibu mwili wako, Mungu atakuangamiza.
Ushahidi huu hapa:
1 Wakorintho 3:17
"Mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndio hilo hekalu.”
Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu. Hatutakiwi kuiharibu. Tukiiharibu tutaangamizwa.
Sasa, kama unafanya mojawapo ya mambo yafuatayo, ujue unauharibu mwili wako na hivyo unajiweka katika hatari ya kuangamizwa na Mungu:
1. Ulafi au kula kupita kiasi vyakula vinavyosababisha mwili uwe na uzito wa kupindukia(obesity). Obesity huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo, kisukari(Type 2 diabetes), na shinikizo la damu.
Mwili wa mwanadamu umeumbwa kwa namna ya kipekee. Ukikiuka kanuni za kiafya unauharibu. Na hiyo ndiyo kuharibu hekalu la Mungu. Hivyo basi, kula kwa kiasi, chagua vyakula asilia na fanya mazoezi mara kwa mara ili kulinda mwili wako(hekalu la Roho Mtakatifu).
2. Kutokuupumzisha mwili
Kukosa usingizi wa kutosha, kufanya kazi kupita kiasi bila kupumzika, huweza kupelekea uchovu wa mwili na magonjwa sugu.
3. Kufanya uasherati na uzinzi. Mambo haya husababisha magonjwa ya zinaa yanayoharibu mwili.
4. Kuvuta sigara na kutumia madawa ya kulevya(bangi, cocaine nk)
Nikotini na kemikali nyingine zilizomo kwnye sigara, zinaribu mapafu na kuongeza hatari ya saratani na maradhi ya moyo. Bangi huathiri ubongo
5. Kunywa pombe
Pombe huharibu ini na kuathiri akili. Epuka pombe.
Nakuuliza umeolewa?La Quica
Yafikiri yaliyo juu Kristo aliko. Huko hakuna kuoa wala kuolewa.
Kol 3: 3-5
Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi. Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu. Basi, vifisheni [viueni]viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.
Nimeona tu vifungu vya biblia na sijavisoma. Umeolewa?Nakuuliza: umeuelewa ushauri niliokupa?
ewe mgalatia ni nani aliyekuloga?Je unajua? Ukifanya mambo yafuatayo, yakauharibu mwili wako, Mungu atakuangamiza.
Ushahidi huu hapa:
1 Wakorintho 3:17
"Mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndio hilo hekalu.”
Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu. Hatutakiwi kuiharibu. Tukiiharibu tutaangamizwa.
Sasa, kama unafanya mojawapo ya mambo yafuatayo, ujue unauharibu mwili wako na hivyo unajiweka katika hatari ya kuangamizwa na Mungu:
1. Ulafi au kula kupita kiasi vyakula vinavyosababisha mwili uwe na uzito wa kupindukia(obesity). Obesity huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo, kisukari(Type 2 diabetes), na shinikizo la damu.
Mwili wa mwanadamu umeumbwa kwa namna ya kipekee. Ukikiuka kanuni za kiafya unauharibu. Na hiyo ndiyo kuharibu hekalu la Mungu. Hivyo basi, kula kwa kiasi, chagua vyakula asilia na fanya mazoezi mara kwa mara ili kulinda mwili wako(hekalu la Roho Mtakatifu).
2. Kutokuupumzisha mwili
Kukosa usingizi wa kutosha, kufanya kazi kupita kiasi bila kupumzika, huweza kupelekea uchovu wa mwili na magonjwa sugu.
3. Kufanya uasherati na uzinzi. Mambo haya husababisha magonjwa ya zinaa yanayoharibu mwili.
4. Kuvuta sigara na kutumia madawa ya kulevya(bangi, cocaine nk)
Nikotini na kemikali nyingine zilizomo kwnye sigara, zinaribu mapafu na kuongeza hatari ya saratani na maradhi ya moyo. Bangi huathiri ubongo
5. Kunywa pombe
Pombe huharibu ini na kuathiri akili. Epuka pombe.
Kwa vyovyote wewe unasumbuliwa na Pepo la NGONO kesho mtafute Mchungaji akuombee ili pepo hilo likutoke!!Nimeona tu vifungu vya biblia na sijavisoma. Umeolewa?
UmeolewaVisome. Mkemee shetani anayekuzuia kusoma Neno la Mungu