Huwezi nipa andiko la kiimani ambalo limeandikwa na mwanadamu pengine aliyeandika anaenda PERIOD sasa lazima atavutia kwakwe mana ninyi wanawake ni WABINAFSI saaanaKurogwa ni neno la lugha gani? Kama unamaanisha kulogwa, basi waliologwa sifa zao zimeandikwa hapa:
Gal 3:1-14
Nipe namba yako uniombee kwajina hiloKwa Jina la Yesu Kristo, pepo wa uzinzi, toka ndani ya La Quica, mwachie awe huru
Umejuaje kuna kulogwa, kama sio kwa imani. Kuna mwanasayansi anayeweza kuthibitisha katika maabara kwamba kuna uchawi au kulogana?Huwezi nipa andiko la kiimani ambalo limeandikwa na mwanadamu pengine aliyeandika anaenda PERIOD sasa lazima atavutia kwakwe mana ninyi wanawake ni WABINAFSI saaana
Nimekwambia njoo pm tafadhali.Umejuaje kuna kulogwa, kama sio kwa imani. Kuna mwanasayansi anayeweza kuthibitisha katika maabara kwamba kuna uchawi au kulogana?
Unaposema "Mungu atakuangamiza" una maana gani?Je unajua? Ukifanya mambo yafuatayo, yakauharibu mwili wako, Mungu atakuangamiza.
Ushahidi huu hapa:
1 Wakorintho 3:17
"Mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndio hilo hekalu.”
Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu. Hatutakiwi kuiharibu. Tukiiharibu tutaangamizwa.
Sasa, kama unafanya mojawapo ya mambo yafuatayo, ujue unauharibu mwili wako na hivyo unajiweka katika hatari ya kuangamizwa na Mungu:
1. Ulafi au kula kupita kiasi vyakula vinavyosababisha mwili uwe na uzito wa kupindukia(obesity). Obesity huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo, kisukari(Type 2 diabetes), na shinikizo la damu.
Mwili wa mwanadamu umeumbwa kwa namna ya kipekee. Ukikiuka kanuni za kiafya unauharibu. Na hiyo ndiyo kuharibu hekalu la Mungu. Hivyo basi, kula kwa kiasi, chagua vyakula asilia na fanya mazoezi mara kwa mara ili kulinda mwili wako(hekalu la Roho Mtakatifu).
2. Kutokuupumzisha mwili
Kukosa usingizi wa kutosha, kufanya kazi kupita kiasi bila kupumzika, huweza kupelekea uchovu wa mwili na magonjwa sugu.
3. Kufanya uasherati na uzinzi. Mambo haya husababisha magonjwa ya zinaa yanayoharibu mwili.
4. Kuvuta sigara na kutumia madawa ya kulevya(bangi, cocaine nk)
Nikotini na kemikali nyingine zilizomo kwnye sigara, zinaribu mapafu na kuongeza hatari ya saratani na maradhi ya moyo. Bangi huathiri ubongo
5. Kunywa pombe
Pombe huharibu ini na kuathiri akili. Epuka pombe.
Wewe ndio umeliweka neno hilo kwenye kichwa cha habari cha uzi wako. Mimi nataka kujua wewe unamaanisha nini, sasa unaniuliza mimi tena?Wewe unalielewaje neno: "kuangamiza"? Tuanzie hapo kwanza.
Mimi sina ninachoelewa mkuu ndio maan nimeuliza hilo swali.Nakuuliza ili nijue naanzia wapi kukufafanulia.
toka kwenye utumwa wa dhambi wewekisumbusi
Soma kwa makini Gal 3:1-14 uone tabia/mwenendo wa hao wanaodhaniwa wamelogwa. Usishangae ukiona mwenendo wako unafanana na hao hao Wagalatia
Hujajiuliza kwanini naitwa Setfree? Huko nilishatoka zamani. Am set free from the bondage of sin. Na wewe ukitubu dhambi zako na kumwamini Yesu, utawekwa huru mbali na utumwa wa dhambi.toka kwenye utumwa wa dhambi wewe
toka kwenye laana
Nakushauri kasome Wagalatia 3 yote
na Wagalatia 5 yote
Sasa kama uko huru hayo mambo ya ulafi ulevi na mengine yanaingiaje hapo kwenye huo uhuru wako ?Hujajiuliza kwanini naitwa Setfree? Huko nilishatoka zamani. Am set free from the bondage of sin. Na wewe ukitubu dhambi zako na kumwamini Yesu, utawekwa huru mbali na utumwa wa dhambi.
Umenipata kisumbusi ?
Wee umeokoka lafu unaogopa kuja pm basi Imani yako Ni ndogo saanaTukizungumza PM wengine watafaidikaje na mazungumzo yetu? Watawezaje kutoa comments? Kaulimbiu ya JF ni: "Where We Dare To Talk Openly" not Privately