Je, una habari? Ukifanya mambo haya, Mungu atakuangamiza!

Wee umeokoka lafu unaogopa kuja pm basi Imani yako Ni ndogo saana
Ukiokoka, hata kama una imani ndogo sana kama chembe ya haradali, hiyo inatosha kukufanya uone miujiza.
Luka 17:6
Naye Bwana akajibu, “Kama imani yenu ingekuwa ndogo hata kama chembe ndogo ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu: ‘Ngoka ukajipandikize baharini,’ nao ungewatii
 
Njoo pm basi uendelee kunipa neno.

Mwalimu wa tuition
 
Back
Top Bottom