Je, una habari? Ukifanya mambo haya, Mungu atakuangamiza!

Kurogwa ni neno la lugha gani? Kama unamaanisha kulogwa, basi waliologwa sifa zao zimeandikwa hapa:
Gal 3:1-14
Huwezi nipa andiko la kiimani ambalo limeandikwa na mwanadamu pengine aliyeandika anaenda PERIOD sasa lazima atavutia kwakwe mana ninyi wanawake ni WABINAFSI saaana
 
Huwezi nipa andiko la kiimani ambalo limeandikwa na mwanadamu pengine aliyeandika anaenda PERIOD sasa lazima atavutia kwakwe mana ninyi wanawake ni WABINAFSI saaana
Umejuaje kuna kulogwa, kama sio kwa imani. Kuna mwanasayansi anayeweza kuthibitisha katika maabara kwamba kuna uchawi au kulogana?
 
Umejuaje kuna kulogwa, kama sio kwa imani. Kuna mwanasayansi anayeweza kuthibitisha katika maabara kwamba kuna uchawi au kulogana?
Nimekwambia njoo pm tafadhali.

Tuzungumze vizuri habari Za yesu.
 
Unaposema "Mungu atakuangamiza" una maana gani?
 
Wewe unalielewaje neno: "kuangamiza"? Tuanzie hapo kwanza.
Wewe ndio umeliweka neno hilo kwenye kichwa cha habari cha uzi wako. Mimi nataka kujua wewe unamaanisha nini, sasa unaniuliza mimi tena?
 
Wewe ndio umeliweka neno hilo kwenye kichwa cha habari cha uzi wako. Mimi nataka kujua wewe unamaanisha nini, sasa unaniuliza mimi tena?
Nakuuliza ili nijue naanzia wapi kukufafanulia.
 
kisumbusi
Soma kwa makini Gal 3:1-14 uone tabia/mwenendo wa hao wanaodhaniwa wamelogwa. Usishangae ukiona mwenendo wako unafanana na hao hao Wagalatia
toka kwenye utumwa wa dhambi wewe
toka kwenye laana
Nakushauri kasome Wagalatia 3 yote
na Wagalatia 5 yote
 
Mimi sina ninachoelewa mkuu ndio maan nimeuliza hilo swali.
Sawa. Basi pekua kwanza kamusi ya TUKI usome definition ya neno hilo halafu uniambie umeelewa nini
 
toka kwenye utumwa wa dhambi wewe
toka kwenye laana
Nakushauri kasome Wagalatia 3 yote
na Wagalatia 5 yote
Hujajiuliza kwanini naitwa Setfree? Huko nilishatoka zamani. Am set free from the bondage of sin. Na wewe ukitubu dhambi zako na kumwamini Yesu, utawekwa huru mbali na utumwa wa dhambi.
Umenipata kisumbusi ?
 
Mungu ni mmoja tuu
Sawa, Mungu ni mmoja na njia ni moja tu ya kutufikisha kwa Mungu. Njia hiyo ni Yesu tu.
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Hujajiuliza kwanini naitwa Setfree? Huko nilishatoka zamani. Am set free from the bondage of sin. Na wewe ukitubu dhambi zako na kumwamini Yesu, utawekwa huru mbali na utumwa wa dhambi.
Umenipata kisumbusi ?
Sasa kama uko huru hayo mambo ya ulafi ulevi na mengine yanaingiaje hapo kwenye huo uhuru wako ?
 
Tukizungumza PM wengine watafaidikaje na mazungumzo yetu? Watawezaje kutoa comments? Kaulimbiu ya JF ni: "Where We Dare To Talk Openly" not Privately
Wee umeokoka lafu unaogopa kuja pm basi Imani yako Ni ndogo saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…