Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga tu wa watu.Ukweli ni kwamba RPC ametoa wazo na ushauri mzuri sana, isipokuwa tatizo linakuja kwamba Wananchi wengi sana tayari wameshapoteza Imani dhidi ya Jeshi la Polisi. Hii ni kutokana na rekodi mbaya waliyonayo Polisi ya kuhusika na matukio mbalimbali mabaya na ya uhalifu dhidi ya raia. Matukio mabaya kama lile la Kamanda Abdallah Zombe na Kamanda Christopher Bageni kuwaua makusudi wale wafanyabiashara wa madini wa kutoka Mahenge Morogoro, tukio lingine kama hilo la wale Askari Polisi kule Mtwara yamechafua sana taswira ya Jeshi la Polisi kiasi cha kulifanya Jeshi hilo lisiweze kuaminika tena na Wananchi au na mtu yoyote yule mwenye akili timamu.
Huuu mtego siungiii kwamweeeeeKutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi
Je huyu mfanyabiashara atakuwa na imani kwa escort ya askari polisi hao.
---
Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua Askari Polisi kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kuzipeleka benki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya ameyasema hayo leo Desemba 12, 2023, alifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilaya ya Songwe na kusema kuwa, ni vyema unapokuwa unaenda kupima dhahabu au unapokuwa na hela nyingi ni bora kuchukua askari kwa usalama wako na mali yako.
"Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake, mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua Askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea," amesema Kamanda Mallya.
Kwa upande wa wafanyabiashara hao walimuahadi Kamanda Mallya kutekeleza agizo hilo ili kuwa salama wao na mali zao.
Kama fisi ana uwezo wa kutumwa nyama na aifikishe bila kuoinja au kuila yote basi na polisi nao wataweza kusindikiza pesa ya mtu binafsi.Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi
Je huyu mfanyabiashara atakuwa na imani kwa escort ya askari polisi hao.
---
Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua Askari Polisi kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kuzipeleka benki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya ameyasema hayo leo Desemba 12, 2023, alifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilaya ya Songwe na kusema kuwa, ni vyema unapokuwa unaenda kupima dhahabu au unapokuwa na hela nyingi ni bora kuchukua askari kwa usalama wako na mali yako.
"Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake, mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua Askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea," amesema Kamanda Mallya.
Kwa upande wa wafanyabiashara hao walimuahadi Kamanda Mallya kutekeleza agizo hilo ili kuwa salama wao na mali zao.
Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi
Je huyu mfanyabiashara atakuwa na imani kwa escort ya askari polisi hao.
---
Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua Askari Polisi kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kuzipeleka benki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya ameyasema hayo leo Desemba 12, 2023, alifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilaya ya Songwe na kusema kuwa, ni vyema unapokuwa unaenda kupima dhahabu au unapokuwa na hela nyingi ni bora kuchukua askari kwa usalama wako na mali yako.
"Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake, mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua Askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea," amesema Kamanda Mallya.
Kwa upande wa wafanyabiashara hao walimuahadi Kamanda Mallya kutekeleza agizo hilo ili kuwa salama wao na mali zao.
Kaka,hapa sio swala la kulishwa sumu ya chuki dhidi ya polisi.....kama polisi wanatenda hayo wanayotuumiwa nayo na raia wanaona unadhani wataacha kuwachukia polisi?.Kwahyo usikomae sana kwamba watanzania wamelishwa sumu ya chuki dhidi ya polisi.....No.....kuna watu wameumizwa sana na wameumiziwa wapendwa wao na Mali zao n.k.na hao ambao wewe unasema watu wamelishwa sumu kuwachukia.Polisi ni watu kama sisi...kwahyo hata maovu pia wanaweza kutenda kama raia wengine tu.......Kwahyo sio wote wanaochukia polisi ni kwamba wamelishwa sumu ya chuki.....Lazima watakuwa na sababu zao za msingi...tena nyingi tu.Chunguza utagundua Hilo.Nadhani Kwa mahusiano mabovu yaliyoko baina ya Police na raia ni vyema wakajirekebisha sana....picha sio nzuri,hata Police wenyewe wanajua kuwa Raia wengi hawawapendi.Kwa 7bu tulishalishwa sumu tangu tunazaliwa kua polisi ni wabaya kama tulivyolisha sumu kua mwarabu kamtesa muafrika kwa picha za kuchora na wazungu, wakati warabu wenyewe ni waafrika wenzetu. Lengo la wazungu ni kutugombanisha ili waendelee kuitawala Afrika.
Sumu iliotumika kuwachukia warabu ndio sumu hiyo hiyo iliotumika kuwachukia Polisi nchi hii.