Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Tapeli ni tofauti na polisi.hizo hizo kidogo matapeli huzitaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli ni tofauti na polisi.hizo hizo kidogo matapeli huzitaka
Siwezi kujibizana na mtu ambaye anaona biashara ya utumwa ni poa tu.Biashara ya utumwa mwarabu alinunua mtu kutoka ktk familia yake, hivyo wazee ndio huuza watoto wao, yani mbongo mwenyewe ndio anamuuza mtoto wake kwa tamaa zetu za kutaka pesa.
Pia tumia uwelewa achana na mambo ya kukariri.
Mwarabu akimnunua ntu anamfunga cheni ili asimkimbie, anampa chakula a maji kwa wakati na kupumzika kwa vituo kwa 7bu hakua na usafiei zaidi ya miguu, mwarabu atahakikisha mtu huyo anaimarika vizuri kiafya ili akuuze kwa mzungu tunaemuona ni bora kwa bei kubwa maana ukidhofu bei kwa mzungu inapungua, akikutesa ukifa yeye anakula hasara na hatoweza kuendesha biashara.
Kama leo hii unanunua Ng'ombe kanda ya ziwa kwa bei ndogo na kumsafirisha hadi dar ili umuuze kwa bei kubwa, lazima umfunge kamba, umpe chakula na maji ili aimarike kabisa uweze kumuuza kwa bei kubwa, akifa wewe utakula hasara.
Je! Utamtesa ili afe ule hasara?
Fungua akili mkuu, hapo ktk historia tumepigwa.
Mzungu ndie aliewatumikisha na kutesa waafrika baada ya kuwanunua, mwarabu aliuza kwa wazungu kama yeye alivyo uziwa na baba wa familia, ndiomaana leo hii picha zote za mwarabu kumtesa muafrika ni za kuchora, ila zipi za kupiga za mzungu kumtesa muafrika.
Umeninukuu vibaya, sijasema biashara ya utumwa kua ni poa. Kwa upande wangu sio poa kabisa, ila nilijaribu kukufunua akili utoke kwenye kukariri uingie kwenye uwelewa ili ukipinga jambo pinga kwa hoja na sio kwa jadi.Siwezi kujibizana na mtu ambaye anaona biashara ya utumwa ni poa tu.
Hujafikisha viwango vya kujadiliana nami.
Kuna maaskari vijana wadogo kabisa kutoka Mbeya mjini walienda hiyo njia ya Chunya usiku wakawapiga ambush wafanyabiashara wa dhahabu. Hawakufanya mauaji yoyote, baada ya upelelezi walioibiwa wakaitwa kuwatambua wahalifu. Wakafanikiwa kuwatambua na walikuwa ni askali polisi, washanunua magari na vibanda vya kujishikiza. Ikaja kuonekana walipewa taarifa na wenzao wa Chunya.Daah kesi ya Mtwara bado ipo mbichi harafu tena uwatumie Wauaji kupeleka dhahabu kupimwa ni bora ukakutane na majambazi Road kuliko ukasafiri nao huku wakiwa na uhakika wa Mzigo waliobeba na ukienda kutoa taarifa kesi unapewa nyepesi mno maana mashahidi ni wenyewe.
Mtuhumiwa aliiba dhahabu na kutaka kuwatoroka Polisi kwenye kizuizi na siraha itawekwa ubaoni kama kidhibiti ndugu watagomea kuchukua maiti mpaka ipimwe ila baadae watachukua tuu na ndio mwisho wa Movie yenyewe.
Hapana, ukivyoandika ni kama mtu anayeona biashara ya utumwa ilikuwa just a natter of fact exchange of goods.Umeninukuu vibaya, sijasema biashara ya utumwa kua ni poa. Kwa upande wangu sio poa kabisa, ila nilijaribu kukufunua akili utoke kwenye kukariri uingie kwenye uwelewa ili ukipinga jambo pinga kwa hoja na sio kwa jadi.
Kwa 7bu hauna taalima juu ya jambo linalo bishaniwa.Hujafikisha viwango vya kujadiliana nami.
We bwana embu tulia kwanza, hao wanakuua then wanapita na mzigo. Mbona mifano ipo kibaoMchawi mpe mtoto alee. Hautajuta.
Mwizi mkabidhi mali alinde.
Wafanya biashara walikua na escort ya polisi?Kuna maaskari vijana wadogo kabisa kutoka Mbeya mjini walienda hiyo njia ya Chunya usiku wakawapiga ambush wafanyabiashara wa dhahabu. Hawakufanya mauaji yoyote, baada ya upelelezi walioibiwa wakaitwa kuwatambua wahalifu. Wakafanikiwa kuwatambua na walikuwa ni askali polisi, washanunua magari na vibanda vya kujishikiza. Ikaja kuonekana walipewa taarifa na wenzao wa Chunya.
Afande sikiliza, nyie ni wezi wenye uniform za ulinzi, tunawaogopa kama tunavyoogopa majambaziKama yepi?
Ikishaandika 7bu tu unanipa sababu zaidi ya kukutupa ignore list.Kwa 7bu hauna taalima juu ya jambo linalo bishaniwa.
Mnakuja na mifano ya mtu anayefanya kazi ya uaskari, lete uhalisia wa escort ya polisi.We bwana embu tulia kwanza, hao wanakuua then wanapita na mzigo. Mbona mifano ipo kibao
Hawakuwa na Escort, na wamezoea kufanya hivyo miaka yote. Labda Jeshi la polisi wana nia ya kupunguza matukio ya uporaji na wakati mwingine mauaji. Tatizo ni weledi wa hao Askari polisi tu, yaani bahadhi yao wanabehave kama majambazi kabisa.Wafanya biashara walikua na escort ya polisi?
Unakosea kuniita afande.Afande sikiliza, nyie ni wezi wenye uniform za ulinzi, tunawaogopa kama tunavyoogopa majambazi
Good.Hawakuwa na Escort, na wamezoea kufanya hivyo miaka yote. Labda Jeshi la polisi wana nia ya kupunguza matukio ya uporaji na wakati mwingine mauaji. Tatizo ni weledi wa hao Askari polisi tu, yaani bahadhi yao wanabehave kama majambazi kabisa.
Weeee! Wameshaniulia ndugu yangu na kesi hakuna. Polisi tunawaogopa kama tunavyoogopa majambaziUnakosea kuniita afande.
Unawaogopa kwa 7bu ndivyo ulivyokulia kwa kuwachukia tu, lakini sio kwamba wamekukosea.
Sasa hapa mjinga ni nani?Ikishaandika 7bu tu unanipa sababu zaidi ya kukutupa ignore list.
Kuanzia hapa sitaona posts zako.
Sitaki mizozano na watu wajinga wanaosema Warabu ni Waafrika.
Ukiona polisi kaua mtu, kisha hakuna kesi, basi huyo mtu alikua JAMBAZI, sio kwamba jambazi hana ndugu, anao pia.Weeee! Wameshaniulia ndugu yangu na kesi hakuna. Polisi tunawaogopa kama tunavyoogopa majambazi
Katika watu ambao hawana bahati nchi hii, No.
1) Polisi. Kuanzia utotoni hadi unakua, malezi tunayopewa ni kuwa Polisi sio mtu kabisa. Kila ukoseapo ktk makuzi yako, fimbo NITAKUITIA POLISI, NITAMUAMBIA POLISI au NITAKUPELEKA POLISI. Kwamba polisi ni kitu/dude/jitu moja baya sana.
Hii hupelekea mtu ukimuuliza kwa nini unachukia polisi, hana sababu yeye akiliyake ni kumchukia polisi tu, ndio amekulia ktk maisha hayo.
2) Wasukuma. Wanaonekana watu wa hovyo kila kitu kimewapita kushoto, yani hawajui kila kitu, lakini hao ndio wakurugenzi maofisini.
3) Wamasai. Hawatakiwi hata kuja mjini.
Hiki kitu nilishakiongea ya kuwa. Kumbe na wewe ni miongoni mwa hao.
Unamchukio Polisi bila sababu ya msingi kisa akili ilishalishwa sumu kua polisi ni mbaya. Kakukusea nini, hakuna alichonikosea, shida nini wa tz?
Ukiona polisi kaua mtu, kisha hakuna kesi, basi huyo mtu alikua JAMBAZI, sio kwamba jambazi hana ndugu, anao pia.
Mtu akiuwawa ktk nchi hii, kiutaratibu lazima kuwepo na PMR Post Motorm Report, taarifa ya daktari, inapofanyika PMR lazima kuwepo na Daktari, Polisi na Familia, hapo tayari kuna RB, vipi utasema hakuna kesi na jesi ya mada hakuna dhamana.
Tuambie, kama sio jambazi, ndugu yako alikua nani na kwanini mkakaa kimya msiende mahakamani?