BEFORE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 372
- 598
Kuna kitu aidha huekilewi au umeamua tu kujifanya hukielewi.Anaetamani kutembelea RANGE ni mtu binafsi na sio jeshi.
Unafahamu maana ya ESCORT lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu aidha huekilewi au umeamua tu kujifanya hukielewi.Anaetamani kutembelea RANGE ni mtu binafsi na sio jeshi.
Unafahamu maana ya ESCORT lakini?
Mabenki yanalindwa na Polisi na ziko salama tu, ila wanawalipa kwa masaa.Nilikua namjibu huyu☝️ kuhusu dhana ya mchawi mpe mtoto.
🔨Huu mtego ndo ulimuumiza hamza
Sio sikielewi, tabia ni kitu kingine na kazi ni kitu kingine. Tatizo letu kila kitu tz kwa polisi ni kibaya.Kuna kitu aidha huekilewi au umeamua tu kujifanya hukielewi.
Sawa AfandeSio sikielewi, tabia ni kitu kingine na kazi ni kitu kingine. Tatizo letu kila kitu tz kwa polisi ni kibaya.
Polisi tz tumewaweka kwenye fungu la kukosa, ila Mungu hajawaandikia siduri kua wao fungu lao ni la kukusa.
Sio afande, hapo kinachokuuma wewe ni kwamba, Polisi akipewa escort na tajiri atapata pesa/malipo, hicho ndicho kinachoumiza. Kwanini polisi apate. Tuache hayo mambo wabongo, polisi ni ntu kama sisi.Sawa Afande
Unadanganya umma. Wewe uliomba wapi escort ya polisi wakachukua pesa zako na uhai wako?Mimi kama mhanga wa hili sishauri raia kuomba escort,kusafirisha pesa ni salama kamahujashirikisha watu wengine,lakini kumshirikisha polisi ni hatari zaidi kuliko kutembea bila polisi na ukakutana na majambazi yakitaka kukupola ,na ukapambana mwenyewe,maana majambazi yanaweza ondoka na pesa na kukuachia roho yako,polisi wanaondoka na pesa pamoja na roho yako,jeshi letu limejaa watu wahuni,hawana utu wala huruma leo hii ulishirikishe kwenye kusafirisha pesa!? Wanataka mauaji yaongezeke au
Kama hujui kitu pita tuu braza kama hujui kero za polisi unataka nikuelezee kama upo China ?Kama yepi?
Adanganye umma kwa faida ipi soma taarifa ya Tume aliyounda Rais upate majibu kidogo sio unataka kuongea vitu usivyovijua hapa..Unadanganya umma. Wewe uliomba wapi escort ya polisi wakachukua pesa zako na uhai wako?
Hamza alistahili kupata kile alichokipata kwa mujibu wa imani yake. Imani yake inamruhusu kulipa kisasi ila kwa sharti ulipe kisasi kwa yule tu alie kukosea.Huu mtego ndo ulimuumiza hamza
Hiki kitu nilishakiongea ya kuwa. Kumbe na wewe ni miongoni mwa hao.Kama hujui kitu pita tuu braza kama hujui kero za polisi unataka nikuelezee kama upo China ?
Ndio utapata pa kuanzia.😂😂😂😂😂😂😂😂😂wana matani ya kweli hawa.
Yani ukampe fisi bucha alinde.
Aliyechora anakua wapi?Utachoreshewa mchoro hujawah ona
pale benki kuna mijitu huwa inasimama kwenye foleni ikikaribia atm inarudi nyuma inaacha nafasi kadhaa mbele ijazwe na wa nyuma yake, kumbe huwa inasikilizia mlio wa atm ikilia muda mrefu inajua hapo zimetoka hela nyingi na itaanza kukufuatilia wewe uliyotoa hela nyingi wakutapeli. Kuweni waangalifu na watu wanaojirudisha nyuma ya mstari wanabaini nani kadroo hela nyingiHata BOT escort wanalipia. Hata serekali yenyewe kutoka benki kwenda halmashauri tu, ndani ya KM 01 tunalipa escort kwa polisi ili tuwe salama, na hatujawahi pata shida kwa uwepo wao, lakini watu kila siku wanalizwa na pesa zao hapa hapa mtaani wakitoka kuchukua pesa benki.