Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.
Jichangaye n gold yako ..chap wanapita na wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] polisi wenyewe mmmh
Wizi ni tabia ya mtu na sio tabia ya Jeshi.Daah kesi ya Mtwara bado ipo mbichi harafu tena uwatumie Wauaji kupeleka dhahabu kupimwa ni bora ukakutane na majambazi Road kuliko ukasafiri nao huku wakiwa na uhakika wa Mzigo waliobeba na ukienda kutoa taarifa kesi unapewa nyepesi mno maana mashahidi ni wenyewe...
Mtuhumiwa aliiba dhahabu na kutaka kuwatoroka Polisi kwenye kizuizi na siraha itawekwa ubaoni kama kidhibiti ndugu watagomea kuchukua maiti mpaka ipimwe ila baadae watachukua tuu na ndio mwisho wa Movie yenyewe...
Mbona wana escort pesa kila siku kwenda ktk mabenki na zinafika salama?Siyo kwa polisi hawa wa bongo wazee wa kuishi kwa madili.
Jeshi limeshindwa kusimamia maadili mazuri kwa watu wake...Wizi ni tabia ya mtu na sio tabia ya Jeshi.
Kuna kaukwel ndan yakeDaah kesi ya Mtwara bado ipo mbichi harafu tena uwatumie Wauaji kupeleka dhahabu kupimwa ni bora ukakutane na majambazi Road kuliko ukasafiri nao huku wakiwa na uhakika wa Mzigo waliobeba na ukienda kutoa taarifa kesi unapewa nyepesi mno maana mashahidi ni wenyewe...
Mtuhumiwa aliiba dhahabu na kutaka kuwatoroka Polisi kwenye kizuizi na siraha itawekwa ubaoni kama kidhibiti ndugu watagomea kuchukua maiti mpaka ipimwe ila baadae watachukua tuu na ndio mwisho wa Movie yenyewe...
Kama yepi?Jeshi limeshindwa kusimamia maadili mazuri kwa watu wake...
Haya ni maswala mtambuka. Na wao wanatamani kutembelea RANGE .Mchawi mpe mtoto alee. Hautajuta.
Mwizi mkabidhi mali alinde.
PointHabari Wakuu!
Binafsi naomba nichangie hivi,
Kutokana na mfululizo wa matukio ya hivi karibu kutoka kwa Jeshi la Polisi sina imani kabsa na escort yao, kwani imani yangu ni ndogo kama umepata kutazama tamthilia ya The Kill Point ndo uhalisia wa maisha sasa hivi. Sio Polisi wa Tanzania tu hata Marekani, pesa ama madini ni yangu hivyo ni juu yangu kutafuta ulinzi kutoka makampuni binafsi ya usalama kama GardaWorld na mengine ambayo yanaweza kutoa huduma hiyo kwa ufanisi zaidi.
Kwa mtu ambaye ana macho na masikio sio mara ya kwanza au ya pili kuona polisi wakibariki matukio ya ovyo sana kwenye ulinzi na usalama. David Mack alikuwa ni polisi ila alikwenda kuiba zaidi ya 1,812,220,000 kwa pesa za madafu, André Stander alikuwa ni polisi ila aliwatesa Waafrika kusini balaa. Sina imani kabsa na mtu linapokuja suala la fedha au mali yangu.
Ndio uchukue uamuzi wa kuua watu na kupora mali zao eti kisa unataka kuishi maisha mazuri au kununua range ???Haya ni maswala mtambuka. Na wao wanatamani kutembelea RANGE .
Hata BOT escort wanalipia. Hata serekali yenyewe kutoka benki kwenda halmashauri tu, ndani ya KM 01 tunalipa escort kwa polisi ili tuwe salama, na hatujawahi pata shida kwa uwepo wao, lakini watu kila siku wanalizwa na pesa zao hapa hapa mtaani wakitoka kuchukua pesa benki.sasa wakiomba escort gharama ya kulipia hiyo escort itatoka wapi? Kwanza haitakiwi mtu mwingine ajue nina kiasi gani cha pesa nasafirisha. Je hao polisi wakiingiwa na tamaa usalama wangu na pesa zangu utakuaje? Labda niandae bajeti ya kulipia hiyo escort na niridhike nitakuwa salama mimi na fedha zangu
Ndio uchukue uamuzi wa kuua watu na kupora mali zao eti kisa unataka kuishi maisha mazuri au kununua range ?
Nilikua namjibu huyu☝️ kuhusu dhana ya mchawi mpe mtoto.Mchawi mpe mtoto alee. Hautajuta.
Mwizi mkabidhi mali alinde.
Anaetamani kutembelea RANGE ni mtu binafsi na sio jeshi.Haya ni maswala mtambuka. Na wao wanatamani kutembelea RANGE .
Yaani mkuu ni heri ukutane na vibaka unaweza kupona kuliko polisi! Hawa ndugu zetu ni zaidi ya vibaka!Point