Aah, kabla hujamaliza la Polisi ushakimbikia la Muarabu ni Muafrika.
What's next? Biashara ya utumwa iliyoendeshwa na Waarabu huku Afrika haikuwahi kutokea, hiyo ni hadithi ya Wazungu tu ya kutaka kutugombanisha na Waafrika wenzetu wanaoitwa Waarabu?
Biashara ya utumwa mwarabu alinunua mtu kutoka ktk familia yake, hivyo wazee ndio huuza watoto wao, yani mbongo mwenyewe ndio anamuuza mtoto wake kwa tamaa zetu za kutaka pesa.
Pia tumia uwelewa achana na mambo ya kukariri.
Mwarabu akimnunua ntu anamfunga cheni ili asimkimbie, anampa chakula a maji kwa wakati na kupumzika kwa vituo kwa 7bu hakua na usafiei zaidi ya miguu, mwarabu atahakikisha mtu huyo anaimarika vizuri kiafya ili akuuze kwa mzungu tunaemuona ni bora kwa bei kubwa maana ukidhofu bei kwa mzungu inapungua, akikutesa ukifa yeye anakula hasara na hatoweza kuendesha biashara.
Kama leo hii unanunua Ng'ombe kanda ya ziwa kwa bei ndogo na kumsafirisha hadi dar ili umuuze kwa bei kubwa, lazima umfunge kamba, umpe chakula na maji ili aimarike kabisa uweze kumuuza kwa bei kubwa, akifa wewe utakula hasara.
Je! Utamtesa ili afe ule hasara?
Fungua akili mkuu, hapo ktk historia tumepigwa.
Mzungu ndie aliewatumikisha na kutesa waafrika baada ya kuwanunua, mwarabu aliuza kwa wazungu kama yeye alivyo uziwa na baba wa familia, ndiomaana leo hii picha zote za mwarabu kumtesa muafrika ni za kuchora, ila zipi za kupiga za mzungu kumtesa muafrika.