Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
I second...hawa hawa au wengine!Siyo kwa polisi hawa wa bongo wazee wa kuishi kwa madili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I second...hawa hawa au wengine!Siyo kwa polisi hawa wa bongo wazee wa kuishi kwa madili.
huyo jamaa unayejibizana naye atakuwa ni mwarabu/muislam full stop. Wamekuwa wakipotosha historia ya biashara wakati ilifanywa na hao waislam, wanajisikia vibaya dini yao kuhusishwa na biashara ya utumwa, wamekuwa wakifanya jitihada kubwa sana kupotosha hata mashule yao wanafundisha hovyohovyo historia hiyo.Siwezi kujibizana na mtu ambaye anaona biashara ya utumwa ni poa tu.
Hujafikisha viwango vya kujadiliana nami.
Nimempeleka ignore list, hajafikisha viwango vya kujibizana nami moja kwa moja.huyo jamaa unayejibizana naye atakuwa ni mwarabu/muislam full stop. Wamekuwa wakipotosha historia ya biashara wakati ilifanywa na hao waislam, wanajisikia vibaya dini yao kuhusishwa na biashara ya utumwa, wamekuwa wakifanya jitihada kubwa sana kupotosha hata mashule yao wanafundisha hovyohovyo historia hiyo.
Upele umepata mkunaji..Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua Askari Polisi kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kuzipeleka benki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya ameyasema hayo leo Desemba 12, 2023, alifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilaya ya Songwe na kusema kuwa, ni vyema unapokuwa unaenda kupima dhahabu au unapokuwa na hela nyingi ni bora kuchukua askari kwa usalama wako na mali yako.
"Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake, mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua Askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea," amesema Kamanda Mallya.
Kwa upande wa wafanyabiashara hao walimuahadi Kamanda Mallya kutekeleza agizo hilo ili kuwa salama wao na mali zao.
Askari ndio majambazi yenyewe mpaka muda kuna polisi wangapi kesi zinaendelea mahakamani kwa tuhuma za mauji na uporaji!KAMANDA wa Polisi mkoa wa Songwe, ACP Theopista Mallya amewataka wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe kuchukua askari kwa ajili ya kuwasindikiza wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kupeleka hela banki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.
ACP Theopista ameyasema hayo, wakati akifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilayani humo ambapo ameongeza kuwa ni vyema wanapokwenda kupima dhahabu au wanapokuwa na fedha nyingi ni bora wachukue askari kwa usalama wao na mali zao.
“Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea” amesema Kamanda Mallya.