Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

Siwezi kujibizana na mtu ambaye anaona biashara ya utumwa ni poa tu.

Hujafikisha viwango vya kujadiliana nami.
huyo jamaa unayejibizana naye atakuwa ni mwarabu/muislam full stop. Wamekuwa wakipotosha historia ya biashara wakati ilifanywa na hao waislam, wanajisikia vibaya dini yao kuhusishwa na biashara ya utumwa, wamekuwa wakifanya jitihada kubwa sana kupotosha hata mashule yao wanafundisha hovyohovyo historia hiyo.
 
Nimempeleka ignore list, hajafikisha viwango vya kujibizana nami moja kwa moja.

Sitaki ujinga.
 
.
20231126_211224.jpg
 
Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua Askari Polisi kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kuzipeleka benki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya ameyasema hayo leo Desemba 12, 2023, alifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilaya ya Songwe na kusema kuwa, ni vyema unapokuwa unaenda kupima dhahabu au unapokuwa na hela nyingi ni bora kuchukua askari kwa usalama wako na mali yako.

"Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake, mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua Askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea," amesema Kamanda Mallya.

Kwa upande wa wafanyabiashara hao walimuahadi Kamanda Mallya kutekeleza agizo hilo ili kuwa salama wao na mali zao.
Upele umepata mkunaji..
Nikutengeneza deal za pata pesaa tu.. Salute kwa ACP songwe
 
KAMANDA wa Polisi mkoa wa Songwe, ACP Theopista Mallya amewataka wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe kuchukua askari kwa ajili ya kuwasindikiza wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kupeleka hela banki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.

ACP Theopista ameyasema hayo, wakati akifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilayani humo ambapo ameongeza kuwa ni vyema wanapokwenda kupima dhahabu au wanapokuwa na fedha nyingi ni bora wachukue askari kwa usalama wao na mali zao.

“Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea” amesema Kamanda Mallya.
 
Huu mtego huu Sijibu wala si comment kitu...
Mwanasheria wangu yuko safari Ireland
 
Shida ni kwamba wapo askari ambao sio waaminifu, sasa unaweza kuwa ndio unajichoresha
 
Nawakumbuka wale wauza madini wa Mahenge waliouwawa na Police na yule wa Mtwara ili police wawaibie madini na fedha zao.

Huu ni mtego live ili wakumalize. Be warned!
 
Ile kesi ya kina zombe na wenzake si walikuwa wafanyabiashara wa madini toka ifakara walikula shaba kwa kisingizio ni majambazi 😀😀😀 Kwa Tanganyika ni ngumu Police kuaminika, bora kupata escort ya mganga (kidding)
 
Hahah hapo hapo ndio utashangaa unapigwa na hujui wazee wa gwasuma wamepataje taarifa,

Aisee bora nijiamini mwenyewe na sio hawa wajeda wa kibongo
 
KAMANDA wa Polisi mkoa wa Songwe, ACP Theopista Mallya amewataka wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe kuchukua askari kwa ajili ya kuwasindikiza wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kupeleka hela banki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.

ACP Theopista ameyasema hayo, wakati akifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilayani humo ambapo ameongeza kuwa ni vyema wanapokwenda kupima dhahabu au wanapokuwa na fedha nyingi ni bora wachukue askari kwa usalama wao na mali zao.

“Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea” amesema Kamanda Mallya.
Askari ndio majambazi yenyewe mpaka muda kuna polisi wangapi kesi zinaendelea mahakamani kwa tuhuma za mauji na uporaji!
 
Back
Top Bottom