Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

Safi sana nakuelewa sana, ila wenye vipaji wengi hawajulikani mkuu na wengine wanakufa na vipaji vyao mkuu
 
ASANTE KWA ELIMU HII.
MM NA MAWAZO MAZURI SANA YA KUAANDA VIPINDI LAKINI NAKOSA VIFAA NA WATU MAKINI MWENYE UWEZO WAKUBEBA MAWAZO YANGU.NIMEGUNDUA KUWA MWANZO NI MGUMU SANA KATIKA KUSHIRIKISHA AU KUWASILISHA WAZO KWA MTU MWINGINE.
Hata mm nililigundua hili nikaanza harakati taratibu,angalau nifike sehemu mtu aniamini ninachokifanya,kwaio usisubiri mtu akuamini mkuu anza mwenyewe watakuamini mbele ya safari
 
Then Mkuu Pascal Mayalla tusaidie pia ni wapi tunaweza kwenda kusajiri IDEA zetu - pamoja na Segments, na Vipindi ili kuwa SAFE Side bila kusahau Gharama zake zikoje
 
Then Mkuu Pascal Mayalla tusaidie pia ni wapi tunaweza kwenda kusajiri IDEA zetu - pamoja na Segments, na Vipindi ili kuwa SAFE Side bila kusahau Gharama zake zikoje
Kabla hujasajili idea, unaanzia Brella unasajili jina, kisha nenda COSOTA, idea yako utapewa copy right, the best way kuiprotect idea yako, kwenye proposals za kutafuta udhamini, weka synopsis tuu, maana wengine wakishaona, watakuambia they are not interested, kisha siku mbili tatu, wanaibuka nayo!.

Wale madogo wa THE COMEDY SHOW, walipohama ITV kwenda TBC, wakazuiwa kutumia jina hilo, hivyo wakabadili na kuwa Ze Comedy Show, then kuna Original Comedy, hata TMK Wanaume, maana yake TEMEKE, aliyesajili mwanzo ni Mkubwa Fella, kina Nature walipojitoa, wakajiita TMK Halisi etc, kinachomater ni kulinda wazo lisiibiwe, mimi mawazo yangu yote, nayasambaza bure bila protection yoyote kwa sababu, pesa zangu nazi make kwenye consultancy na presentation na sio kwenye ideas.

Paskali
 
Shukhrani sana kaka, Tufafanunulie hapo RED Umeniacha kidogo sijaelewa
 
Nimepitia hii thread page 01 mpaka ilipofikia na to be HONEST nimepata something very positive and very super helpful...Ahsante sana kaka Pascal Mayalla kwa kutuelimisha na pia kujibu maswali yote kuhusu hili...Mungu akubariki....Shukrani sana
 
Wanabodi huu ni msimu wa Saba Saba. Nimejitolea kutangaza fursa za utangazaji kwa Watanzania wenye vipaji vya Utangazaji. Kama unajihisi una kipaji cha Utangazaji wa Redio na TV, mimi nimejitolea kufanya screening bure kule kwenye viwanja vya Saba Saba. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na Kiingilio chako kwenye Saba Saba. Zoezi la Screening litafanyika Siku ya Jumamosi Tarehe 8/7/2017 kuanzia saa 8:00 mchana ndani ya ofisi za PPR ambazo ziko ndani ya viwanja vya Maonyesho.

Pia inaskitisha sana umu Jamii forum post kama hii wachangiaji wachache post ya kumdisi lemutuz watu nyomiiii
Hii post ni kwa watu wenye interest au ideas kwenye mambo ya uandaaji na biashara ya vipindi vya tv na redio....usitarajie kila mpuuzi ataingia humu. This is for the choosen one but are also rear ones.
 
Kaka Pasco hili bandiko sijaliona ndugu yangu, ningehudhuria, lini tena utatoa fursa kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…