Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Safi sana nakuelewa sana, ila wenye vipaji wengi hawajulikani mkuu na wengine wanakufa na vipaji vyao mkuuAhahaaa kaka Duniani kila mtu kaletwa na kibaji sema wote tupo na vipaji tofauti. Kuwa na kibaji pekee haitoshi. Kipaji ni kama mimba mwanamke ili azae anaitaji kuwa mvumlivu kuna vitu atatakiwa asile na asifanye pia atatakiwa kuhudhuria clinic kujua maendeleo ya mimba. Mwisho wa siku atazaa kwa taabu sana na atahitaji kutumia nguvu kupushi mtoto na pia atahitaji ushirikiano wa manesi... Kaka Kipaji chako ni mimba yako kuna vitu utakiwi kufanya na kuna vitu utakiwi kula. Mfano uwez sema unataka kuwa news anchor then uangalii habari jee utajuaje wenzio wanafanyaje, ama unavuta bangi na kupenda vinywaji vya baridi jee utaweza kuimprove sauti yako vp ni sawa mama mjamzito anaekunywa pombe kali daily jee ataweza jiifungua vizuri.
Unataka kuwa mwanahabari jee umesoma yaan shule ndoo clinic ya mimba yako ndiyo itakayo kuwa inakusukuma kimaendeleo,.
Mimba inaanzaga kuwa changa hadi Inakuwa jee alivyoandika hapo Pascal umeshafanya vingap kama bado rudi chimbo tengeneza saut na muonekano wako mzuri pia jifunze how to create journalism contents and ideas. Then utakuwa umefikisha miez sita tumbo kubwa sasa tafuta mentor Tanzania mwanamke akifika miez sita ya ujauzito wa kwanza anaenda kwa mama yake kwa sababu mama ake anajua jinsi ya kumuongoza mwenye mimba so na ww tafuta mentor wa kukuongoza kuzaa Kipaji chako... Na hapo ndoo utaumia sana kama mwanamke akiwa kwenye mwezi wa saba wa ujauzito anapata shida but atoi mimba kwan anajua kuwa atazaa soon nawe uskate tama
Kumbuka mayalla ajafka hapo alipo kwa siku moja kapambana sana na amekuwa inspiration kwangu na wanahabari wengine binafsi siwez mfata gafla naisubilia mimba ifike miezi saba niende kuonana nae tujenge jinsi ya kuzaaa Kipaji changu