Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

Mkuu Paskali... Heshima yako.. Ntakutafuta kuna kitu unishauri mdogo wako. Kama umeweza kutoa haya yote bure naamini ukilipwa utamshika mtu mkono kabisa na kumuonesha njia
 
Samahani wakuu kwa usumbufu...naomba mwenye uelewa wa proposal ya kipind cha television anijuze...procedure za kuandika..au hata kama ana sample anaweza nisaidia...nataka kuandika proposal ya kpind cha television ila sijui pa kuanzia
 
Mkuu nina shida km yako, vipi nitafute tuunganishe nguvu jamaa yangu..!
 
Mkuu, gharama za kuandaa kipindi cha outdoor cha dk 30 hapo PPR zikoje?
Mkuu JFK wa Bongo, it depends on subject matter, location, production duration, editing time, graphics demands, titles na subtitles, narrations, presentation style, live, semi live, recorded, with 3 cameras, 2 cameras or single camera, etc, etc ila the range is between TZS 2,000,000 -6,000,000 for exhibition or talk shows na TZS 6,000,000 - 12,000,000 for documentary.

P.
 
Shukrani..! Nina idea yangu nimekwama kuitoa ila nimeishia kui-copyright. Mambo yakiwa mazuri nitakutafuta.
 
kaka umenifungua sana . nashukuru sana kwa shule yako binafsi nina wazo/ndoto ya kufanya kitu ambacho bado watu hawafanyi kwenye media.Binafsi nilikuwa napendelea kufanya kwenye TV.Naomba ushauri wako/muda kukaa na kunishauri nini kinafaa kiongezeke au kipungue kwenye hiyo wazo /ndoto yangu.
 
Asee nimeamin Mungu hufanya kila jambo kwa wakat wake, huu uzi umenihusu kuanzia mwanzo hadi mwisho hata koma ilikuwa muhimu kwangu..

Nimeibiwa ideas mbili na moja naisikia ikitumika kwa media fulan kama segment ya kipind, kwa niliye mshirikisha nikihisi atanisaidia. Ila nashukuru nimetengeneza ideas zingne mbili moja ishakanilika na ya pili ndo namalizia proposal, naamin nitafanya kitu ambacho presenters weng hawajawah kufanya....

Kaka paskal naomba nijue namna ya kukupata kaka plz
 
kaka umenifungua sana . nashukuru sana kwa shule yako binafsi nina wazo/ndoto ya kufanya kitu ambacho bado watu hawafanyi kwenye media.Binafsi nilikuwa napendelea kufanya kwenye TV.Naomba ushauri wako/muda kukaa na kunishauri nini kinafaa kiongezeke au kipungue kwenye hiyo wazo /ndoto yangu.

Mkuu chinatown samahani futa baadhi ya mabandiko yako, yametokea marasita.
Au waombe Mods wakusaidie.
 
Mkuu JFK wa Bongo, it depends on subject matter, location, production duration, editing time, graphics demands, titles na subtitles, narrations, presentation style, live, semi live, recorded, with 3 cameras, 2 cameras or single camera, etc, etc ila the range is between TZS 2,000,000 -6,000,000 for exhibition or talk shows na TZS 6,000,000 - 12,000,000 for documentary.

P.
Brother inabidi nipate wasaa! Nina vingi nahitaji mzoefu anipe mawili matatu
 
Mkuu pascal nimehangaika kweli kuandaa kipindi changu cha tv, ila najua kilichoniangusha ni production. Wazo ni jema na bado liko jema. Ni kuhusu walengwa wahitimu wa elimu za juu na changamoto za ajira. Sasa unawezaje kunisaidia kipindi kifanyike? Content sio tatizo kabisa. Hata kuandaa season nzima si tatizo. Tatizo ni production na sponsorship. Hapo tu. Hata priposal ya kipindi nilishandaa ila nimeshindwa kupenya kuingia kwenye mainstream
 
Back
Top Bottom