Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Zoran: Akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa "Mimi ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi. Pia sitaki pasi za nyuma" anataka pasi za kwenda mbele[emoji23][emoji23]).
Katika kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa sana na mpira ndiyo maana tulishinda goli moja, but Kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndiyo maana tulipata magoli matano.
---
Vitu vya kumkumbusha ndugu Zoran el de Kolo
1) Asisahau kuwa timu anazocheza nazo pre-season ni a ligue dalaja la 3 pale Egypt.
2) Akumbushwe kuwa kuna mwamba anaitwa Feitoto & Mayele.
3) Pablo alikuja na tambo akisema anahusudu soka la kushambulia kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219].
Je, kama mwanasoka (Simba) una lipi la kumwambia kocha letu kimataifa?
Source : mchambuzi
Thanks