Je, una lipi la kumuambia Kocha mpya wa Simba?

Je, una lipi la kumuambia Kocha mpya wa Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Zoran: Akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa "Mimi ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi. Pia sitaki pasi za nyuma" anataka pasi za kwenda mbele[emoji23][emoji23]).

Katika kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa sana na mpira ndiyo maana tulishinda goli moja, but Kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndiyo maana tulipata magoli matano.
---

Vitu vya kumkumbusha ndugu Zoran el de Kolo
1) Asisahau kuwa timu anazocheza nazo pre-season ni a ligue dalaja la 3 pale Egypt.

2) Akumbushwe kuwa kuna mwamba anaitwa Feitoto & Mayele.

3) Pablo alikuja na tambo akisema anahusudu soka la kushambulia kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219].

Je, kama mwanasoka (Simba) una lipi la kumwambia kocha letu kimataifa?

Source : mchambuzi

Thanks
 
Binafsi namtabiria miezi 8 ya kukaa msimbazi....... from now on
FB_IMG_16588402975985881.jpg
 
Mbinu za ushindi ni kushambulia...!

Je kuna wachezaji wenye pumzi ya kupanda na kushuka kushambulia ? Sio kupanda tu wenye ujuzi wa kupossess mpira , accurate pass ,kudefend kwa pamoja na kushambulia pamoja?
 
kweli ndo maana Manara alisema mnavinyesi,hivi na kocha gani asiependa wachezaji wake wacheze mpira wa kasi?
Mkuu.....unadhani wale wazee kina BOCCO, kagere.....wanaweza kuendana na hyo kasi
 
Mbinu za ushindi ni kushambulia...!

Je kuna wachezaji wenye pumzi ya kupanda na kushuka kushambulia ? Sio kupanda tu wenye ujuzi wa kupossess mpira , accurate pass ,kudefend kwa pamoja na kushambulia pamoja?
BOCCO unamchukuliaje mkuu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom