Je, una lipi la kumuambia Kocha mpya wa Simba?

Je, una lipi la kumuambia Kocha mpya wa Simba?

Awe anakuja na gahawa kwenye mechi Maana akiwii kusinzia si unajua tena wazee
 
Zoran: akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa " Mimi Ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi......pia sitaki pasi za nyuma ( anataka pasi za kwenda mbereee[emoji23][emoji23])

Katika kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa Sana na mpira that's y tulishinda goli moja .......but Kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndio maana tulipata magoli matano
...........................................................

Vitu vya kumkumbusha ndugu Zoran el de kolo
1) Asisahau kuwa timu anazocheza nazo pre season ni a ligue dalaja la 3 pale Egypt

2) akumbushwe kuwa Kuna mwamba anaitwa Feitoto......& Mayele

3.) Pablo alikuja na tambo akisema anahusudu soka la kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]

Je Kama mwana soka ...(Simba) una lipi la kumwambia kocha letu kimataifa....

Source : mchambuzi

Thanks
Aache shobo. Soka la Tanzania lina wenyewe. Ataondoka kabla ya siku zake huyoo
 
Back
Top Bottom