Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

Zirconium

Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
28
Reaction score
46
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa

Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake

Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri
-Kulinda Meno Mengine Yasioze
-Kuepukana na Magonjwa Ya Taya
  • Muonekano
  • Kulinda meno mengine Yasihame katika Nafasi zake

Hapo Chini Nimekuwekea baadhi ya Kazi zetu , Tupo Dar Es Salaam Na Pwani Tunashughulika Na Afya Kinywa Na Meno , Iwapo Utahitaji Huduma unaweza wasiliana Nasi
IMG_2741.jpeg
IMG_2743.jpeg
IMG_2744.jpeg
 
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa

Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake

Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri
-Kulinda Meno Mengine Yasioze
-Kuepukana na Magonjwa Ya Taya
  • Muonekano
  • Kulinda meno mengine Yasihame katika Nafasi zake

Hapo Chini Nimekuwekea baadhi ya Kazi zetu , Tupo Dar Es Salaam Na Pwani Tunashughulika Na Afya Kinywa Na Meno , Iwapo Utahitaji Huduma unaweza wasiliana NasiView attachment 3220974View attachment 3220976View attachment 3220978
Mapengo husababisha vipi meno kuoza?
 
hivi munashindwa nini kuweka maelezo yanayojitosheleza....🚮🚮
Ni hiyo ni dalili huenda hawa ni mtu kati janjajanja nyingi mwisho siku wanatengeneza tatizo jingine kinywani tuanze kuwindana
 
Unaweka tangazo kama dalali mtu kati wa mirungi na bangi...

Andika maelezo kamili kama wapi ipo hospitali yenu (mtaa, jengo, floor n.k)...

Gharama za consultation, matibabu, clinic baada ya kuweka jino...

Na maelezo mengine ya ziada ambayo daktari yeyote huyatoa kwa mgonjwa...

Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa

Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake

Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri
-Kulinda Meno Mengine Yasioze
-Kuepukana na Magonjwa Ya Taya
  • Muonekano
  • Kulinda meno mengine Yasihame katika Nafasi zake

Hapo Chini Nimekuwekea baadhi ya Kazi zetu , Tupo Dar Es Salaam Na Pwani Tunashughulika Na Afya Kinywa Na Meno , Iwapo Utahitaji Huduma unaweza wasiliana NasiView attachment 3220974View attachment 3220976View attachment 3220978
9q

Back
Top Bottom