Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

Hakunaga jino bandia la moja kwa moja though ukilitunza linakaa 10+ years
Hujaelewa mkuu. Nilimaanisha jino linakuwa limebandikwa au linakuwa la kuvalisha na kulitoa? Kuna yale unavaa wakati wa kuongea na unapokula unatakiwa kuyatoa
 
Hata haya ambayo unaweza kula nayo si permenent huwa ni temporary ila linachukua muda kidogo mpaka kuisha ubora mfano mengi ni miaka 10 mpaka 15 ukilitunza vizuri linaeza kukaa hadi 20 years ila inabidi u replace tena .

Hakuna kitu kama meno yako asili.
 
Uko sahihi meno ya asili Ndyo Kila Kitu Mkuu Tuyatunze
 
Hujaelewa mkuu. Nilimaanisha jino linakuwa limebandikwa au linakuwa la kuvalisha na kulitoa? Kuna yale unavaa wakati wa kuongea na unapokula unatakiwa kuyatoa
Hiyo huduma Ipo Mkuu Unaweza Nicheki Pm tukaweka Mambo Sawa
 
350000?Mimi nataka niwauzie meno yangu yote.Mtanunua kwa Tsh ngapi?Mimi kuwa mapengo siyo issue!
Hata mimi hiyo imenishtua kumbe jino ni asset ya bei ghali hivyo?

Au pengine sio jino la kawaida labda ni gold au madini mengine ambayo yameongeza hiyo thamani.

Naweza tu mtu mzima meno 32 ukizidisha na 350,000 inakuja 11,200,000

Hiyo ni IST kabisa na tukienda na idea yako tukasema tuchange wawili hata Fuso tunapata.
 
Inamaana sasa wale kina diamond wanaweka meno ya dhahabu huwa wanatoa meno yao halisi na kuweka kama haya?
 
Back
Top Bottom