Je, una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.

Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.

Aisee hawa jamaa (bodaboda na baadhi ya waendesha pikipiki) ukikutana nao mtaani/barabarani jinsi wanavyoendesha pikipiki zao (fujo zao za kuchomekea, na kuingia high way bila tahadhari) unaweza kutamka maneno makali dhidi yao.

KARIBU TUJADILI:
Una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

Right Marker
Dar es salaam.
 
Hao ni mbwa kabisa!
 
KIKUBWA DUA KWENYE KILA HATUA.
MAANA ""UMASKINI HAUJAWAI KUMPENDEZESHA MTU KAMA SUTI & TAI""""

Mzee kama dakika 15 ntakua eneo napata kinywaji changamshi konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa 😊 Muda huu.
Boda ni vijana wanaopambania maisha tu , ukiwa mwanaume kama mimi , hautaogopa kupata pesa hata kwa njia ya kifo ili kulinda familia yako tu
 
Kuna siku naenda msibani nna buku 7 tu mfukoni, nikaongea na boda mpk napoenda naul sh ngap akasema buku mbili, tukaenda kufika pale mahali tuliposimama kulikuwa na giza kdg nikatoa hela kutokana na giza nikampa buku 5 badala ya Ile buku mbili...yule mjinga popote alipo ajue kurudi alinitembeza na mguu .....nilimaindi

Sema nikapata somo tutafute hela utaendaje msibani na buku saba...!!!

Mpaka leo niko natafuta hela ila sikutani nazo sijui na zenyewe zinanitafuta kwahiyo tunapishana..
 
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.

Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.

Aisee hawa jamaa (bodaboda na baadhi ya waendesha pikipiki) ukikutana nao mtaani/barabarani jinsi wanavyoendesha pikipiki zao (fujo zao za kuchomekea, na kuingia high way bila tahadhari) unaweza kutamka maneno makali dhidi yao.

KARIBU TUJADILI:
Una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

Right Marker
Dar es salaam.
Ni fujo Kwenda mbele,shida wengi wao Hawana Elimu ya barabarani!Amejua kuwasha na kuendesha ni fully misifa!
 
Ile mtu umeruhusiwa na taa kuvuka barabara, wao hawajali wanapita tu,, siku akinigonga ahakikishe nimekufa kabisa,, hakika nikipona sitamuacha salama,,
 
Back
Top Bottom