Je, una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

Je, una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

Ni fujo Kwenda mbele,shida wengi wao Hawana Elimu ya barabarani!Amejua kuwasha na kuendesha ni fully misifa!
Wanaiga movie wanainua pikipiki mara mashindano baadaye kamtu kakiumia kaa sio yeye asubiri achukuliwe na Israel
Wavune walichokipanda🤣
 
Ile mtu umeruhusiwa na taa kuvuka barabara, wao hawajali wanapita tu,, siku akinigonga ahakikishe nimekufa kabisa,, hakika nikipona sitamuacha salama,,
Ataomba usiamke salama 😅
 
Boda ni vijana wanaopambania maisha tu , ukiwa mwanaume kama mimi , hautaogopa kupata pesa hata kwa njia ya kifo ili kulinda familia yako tu🤔
Sio kweli, changamoto nyingi za boda zinaletwa na uendeshaji mbaya usiokuwa na tahadhari.

Wengi wanakuwa vilema na ukilema unaongeza changamoto kuliko kuzipunguza.

Mwisho matumizi yao wakishazidaka sasa, kubananisha wanafunzi na abiria wao wanaowapaga lift wakati wa kazi. Boda na bajaji anaweza kufanya kazi siku nne katika wiki, siku tatu umalaya.
 
Upo sawa , mfano mimi napambania mkataba mkubwa kwa kusoma na pesa itaingia kupitia jeshia us na pesa ni ndefu kwa familia yangu ,??? Nisitie saini kisa sababu za kipumbavu
?
 
Sio kweli, changamoto nyingi za boda zinaletwa na uendeshaji mbaya usiokuwa na tahadhari.

Wengi wanakuwa vilema na ukilema unaongeza changamoto kuliko kuzipunguza.

Mwisho matumizi yao wakishazidaka sasa, kubananisha wanafunzi na abiria wao wanaowapaga lift wakati wa kazi. Boda na bajaji anaweza kufanya kazi siku nne katika wiki, siku tatu umalaya.
Unashauri nini
 
Kuna siku ubungo terminal kuna boda alikuwa kasi barabara ya Nelson Mandela akapalamia semi trailer lilikuwa limepaki aliguna mara moja na kuanguka kimya
 
Ninachokijua Sisi boda boda ni watu wema
 
Mimi nilinusurika kifo pale phantom kahama. Ilikuwa hivi, mimi nilikuwa napendelea kutumia baiskeli kila nikitoka mjini kazini jioni, nyumbani ilikuwa nyakato mwisho kituo cha bajaj wanaofahamu, niliplan siku hiyo nisipitie hii ya mkato ya kupita mpaka magwanji nikaamua kupita ile njia ya kule karibu na wafyatua tofari pembeni kuna shule ya sijui green. Nilipofika phantom stand kuna boda alikuwa ktk uelekeo wangu,ghafula aka turn kurudi akanipamia,nikaanguka na kuzimia katikati ya barabara,wasamalia wakanibeba wakaniweka pembeni pamoja na bike yangu nilipozinduka ndipo wakanieleza hayo. Nikajikongoja hadi nyumbani lakini sikwenda kazini wiki mbili kutokana na majeraha. Mabodaboda ni ******* sana yani.
 
Back
Top Bottom